IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Mnachekesha sana, sijui mnajadili nini....., kwanza ninyi si wapiga kura, mnajipendekeza tu, mnadhani sisi wana Tarime ni wajinga? nadhani hamna kazi za kufanya.
Ni kipindi sasa na ninyi wanaJF mtoke huko mjini mrudi vijijini mwenu mkawaelimishe baba zenu, mama zenu, watoto wenu jinsi ya kupambanua mambo.
Fikra za wanaTarime ni chanya na si kama mnavyodhani, mnakumbuka pale TBC walivyojaribu kutuchonganisha na ndugu zetu wachaga? tuliwatuuza na tukaendelea na msiba wa ndugu yetu CHACHA.
Tunapenda kuwajulisha kuwa, mwambieni huyo MTIKILA AJE HATA KESHO, Kama itawezekana, yeye anajua na ndiyo maana anasuasua kuja hapa nyumbani.
WanaJF mimi nawauliza mbona kule mikoani mwenu mnakotoka hamjawa na uamuzi wa kimageuzi kama tunavyofanya hapa Tarime?
Laiti mngekuwepo jana ktk maandamano ya CCM mngecheka hadi meno yawatoke,