Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 197
Balozi kusema hawana vyuo vya kijasusi ni uongo lol, Mwandishi wa Habari angemuuliza huyo balozi kazi kubwa ya Musa Kousa ilikuwa nini mpaka wakampiga marufuku kwenda Uingereza?
Upande mwingine, kama Malya ni jasusi/assassin then yuko very sloppy na hafai kuendelea na hiyo fani...naanza kuamini Malya kazi yake kubwa ilikuwa ni "kusafisha".
Upande mwingine, kama Malya ni jasusi/assassin then yuko very sloppy na hafai kuendelea na hiyo fani...naanza kuamini Malya kazi yake kubwa ilikuwa ni "kusafisha".