ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,059
- 40,281
Nyokoooo we mtoto 😁Nakupenda sana mdada wangu ❤️
Nyokoooo we mtoto 😁Nakupenda sana mdada wangu ❤️
Huwa hamkutani kwenye kula kande?Kwann niwe na ugomvi na mtu nisiyemjua?
Huyo n kama baba yangu, sina baya nae.Huwa hamkutani kwenye kula kande?
Kwahy unaniona mm mtoto ndo mana ile ishu yangu unanizngusha?Nyokoooo we mtoto 😁
Husahau na wewe akhaKwahy unaniona mm mtoto ndo mana ile ishu yangu unanizngusha?
Uyo pichani ndio warumi au niffer?Kudorora
Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity
Hili jukwaa kuna kipindi lilikuwa maarufu mno kiasi cha kuifunika vilivyo chitchat. Huku likiwa na magwiji wake kama marehemu warumi na nifer
Je marehemu anaweza kufufuka? Celebrity lilikufa natural death halikufutwa! Pengine kuna siku mzimu wake utarejeaView attachment 3587605
Plz mamaa 🙏Husahau na wewe akha
NimekuelewaPlz mamaa 🙏
🙏Nimekuelewa