Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,743
- 858,461
- Thread starter
- #21
Kama ilivyo kwako Khantwe !!! Mshana Jr ni mmoja tuu.. Napenda kuiishi furaha yangu bila kuumiza au kuukwaza uumbaji mwingine!Ila Mshana unapenda kujiamulia mambo
Sitaki kufeki life.. Napenda kuishi maisha yangu na hicho ni kitu muhimu kwangu kuliko vyote..!
Naweza kuppkea ushauri lakini mwamuzi wa mwisho nitabaki kuwa mimi😀 That's why napenda kujiamulia mambo yangu😂