Kifo cha jukwaa la celebrity

Kifo cha jukwaa la celebrity

Ndio. Na kuna watu walikuelewa na wakajibu kabisa, ila post zao zinaonesha walijawa aibu na woga baada ya kuona post yako.
Kwanini mnajipa umuhimu kwenye maisha ya watu?
Yaani huyu bro Mshana Jr me simheshimu wala simdharau. Lakini "NAMUELEWA SANA".
Sorry heshima yako au dharau inapunguza au kuongeza nini kwenye maisha ya mtu 😁
Sasa ninachosema ni kwamba, watu wanavomchukulia ni tofauti na alivyo.
ufafiti wako ulichukua mda gani
na baada ya hapo ni faida gani na hasara umeziona /umezigundua
Yaani wanamchulia uzito sana, wakati ni wakawaida.
Kwanini unasema wanamchukulia mzito sana?
Una uhakika wanamchukulia mzito?
 
Anyway, naiweka kwa ufupi kama ifuatavyo.

Mshana ni mtu maarufu humu JF, ila watu wengi hawamueshimu bali wanamuogopa. Pia wapo wanaomuheshimu.

Mfano, mara nyingi jamaa hua ana-quote au ana copy and paste maneno Kutoka Kwenye Mada na kuyaweka kama comment yake (sio mbaya) ila tatizo linakuja kwamba watu wanakuja kufurahia paste aliyoifanya Mshana Na kuacha ya mtoa mada wakati pia wameisoma hy point kwenye mada.

Pia aina ya mada zake baadhi, mada hizo hizo ziliandikwa na wengine ni upuuzi ila ziliandikwa na Mshana bc pipoz mnajaa, tusiende Mbali, angalia tuu h mada, the compare Na heshima mnayompa Mshana.

N Sawa na msanii mkubwa anatoa mziki wa kipuuzi unaenda mbali mana n msanii mkubwa.

Siwez kuwa na chuki na yeyote Humu JF, siwezi kuwa na ugomvi na huyu mpare mwenzangu, kwanza tumetoka kijiji kimoja 😂 wote n wana kwangu,
Huu ni wivu
 
Kwanini mnajipa umuhimu kwenye maisha ya watu?
....

Sorry heshima yako au dharau inapunguza au kuongeza nini kwenye maisha ya mtu
....

uTafiti wako ulichukua mda gani
na baada ya hapo ni faida gani na hasara umeziona /umezigundua
....

Kwanini unasema wanamchukulia mzito sana?
Una uhakika wanamchukulia mzito?
....

Kunaaa..
"Kumkosoa, kumsema, na kumuelezea". Au
"Kukosoa, kumsema na kuelezea".

Sasa me sijamkosoa. Pia, sijamsema. Ila nimeelezea kuhusu yeye kiujumla. Ndo maana nikasema simheshimu wala simdharau. Ila "NAMUELEWA SANA"

Unajua huwezi kumdharau mtu ambaye humuelewi... Pia huwezi kumheshimu mtu ambaye humuelewi... Kifupi kumheshimu na kumdharau mtu, kunakuja baada ya kumuelewa.
 
Hawez kukuelewa 😂
 
Back
Top Bottom