Kifo cha jukwaa la celebrity

Kifo cha jukwaa la celebrity

Tangu juzi nimeamua kuwa mpenzi msomaji sitaandika tena iwe
Mapenzi
Ulozi
Chitchat nk
Ngoja niwekeze kwenye kuhubiri tuu😃
 
Shee acha kudanganya watu bwana, huna furaha.
1778492008940.jpg
 
Saikolojia ya "hater" inajikita zaidi katika matatizo ya ndani ya mtu anayechukia kuliko mitazamo ya mtu anayechukiwa.
View attachment 3587624Mara nyingi, chuki ni njia ya kisaikolojia ya kukabiliana na maumivu ya ndani, kutojiamini, au hisia za kushindwa.
Huyo jamaa nilisha-mla block siku nyingi sana. Anachoandika siwezi kukiona. Nlimtumbumbukiza kwenye kapu la ignore list.
 
Huyo jamaa nilisha-mla block siku nyingi sana. Anachoandika siwezi kukiona. Nlimtumbumbukiza kwenye kapu la ignore list.
Miaka kama mitano nyuma kuna ID iliniandama mno kwa kila nilichopost .. Nikawa nishangaa sana.. Ikabidi niingie mzigoni ... Akaletwa tukaa kijiwe kimoja hivi kuna pub tukanywa tukala bila kunitambua kabisa
Kwakweli nilijisikia vibaya sana maana alikuwa kijana tu fulani mchovu
 
Ngoja nami nianze kukuandama ili nije kula bia.
 
Miaka kama mitano nyuma kuna ID iliniandama mno kwa kila nilichopost .. Nikawa nishangaa sana.. Ikabidi niingie mzigoni ... Akaletwa tukaa kijiwe kimoja hivi kuna pub tukanywa tukala bila kunitambua kabisa
Kwakweli nilijisikia vibaya sana maana alikuwa kijana tu fulani mchovu
Hizi sasa dharau🤣🤣
 
Anyway, naiweka kwa ufupi kama ifuatavyo.

Mshana ni mtu maarufu humu JF, ila watu wengi hawamueshimu bali wanamuogopa. Pia wapo wanaomuheshimu.

Mfano, mara nyingi jamaa hua ana-quote au ana copy and paste maneno Kutoka Kwenye Mada na kuyaweka kama comment yake (sio mbaya) ila tatizo linakuja kwamba watu wanakuja kufurahia paste aliyoifanya Mshana Na kuacha ya mtoa mada wakati pia wameisoma hy point kwenye mada.

Pia aina ya mada zake baadhi, mada hizo hizo ziliandikwa na wengine ni upuuzi ila ziliandikwa na Mshana bc pipoz mnajaa, tusiende Mbali, angalia tuu h mada, the compare Na heshima mnayompa Mshana.

N Sawa na msanii mkubwa anatoa mziki wa kipuuzi unaenda mbali mana n msanii mkubwa.

Siwez kuwa na chuki na yeyote Humu JF
Dah! Apa Mbaga Jr uliandika ukiwa kwenye utulivu balaa.

Na ulichoandika hapa ni ukweli. Na huo ni ukweli na siwezi kungopa.
 
Kumbe hii ndio sababu aisee noma sana Sikujua

Ila nikushauri tu watu hatufanani na Haiwezekani kabisa cha muhimu ukiona mtu huendani na mitazamo yake una muacha tu kuliko kuonesha chuki za wazi wazi

Mfano wewe unavyoongelea nyeto unadhani kila mtu anapenda sio kweli sasa wewe umeona watu wakikuonesha kua hawapendi ?

Na sio kwamba wanakuogopa ila wanaheshimu maoni yako

Pengine upo kwenye ignore list za watu
Na wewe fanya hivyo ukiona mtu humuelewi mtupie huko ili uwe happy
Kuna muda nilikuwa nataka kutumia, ila nilisita.

Ngoja tu niseme,
Umdhaniae ndiye, kumbe sio.
 
Mtu akiwa chawa wa Mshana hawezi kuelewa nilichoandika.
Ndio. Na kuna watu walikuelewa na wakajibu kabisa, ila post zao zinaonesha walijawa aibu na woga baada ya kuona post yako.

Yaani huyu bro Mshana Jr me simheshimu wala simdharau. Lakini "NAMUELEWA SANA".

Sasa ninachosema ni kwamba, watu wanavomchukulia ni tofauti na alivyo. Yaani wanamchulia uzito sana, wakati ni wakawaida.
 
Back
Top Bottom