Kifo cha jukwaa la celebrity

Kifo cha jukwaa la celebrity

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,902
Reaction score
845,816
Kudorora

Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity

Hili jukwaa kuna kipindi lilikuwa maarufu mno kiasi cha kuifunika vilivyo chitchat. Huku likiwa na magwiji wake kama marehemu warumi na nifer

Je marehemu anaweza kufufuka? Celebrity lilikufa natural death halikufutwa! Pengine kuna siku mzimu wake utarejea
05abf498-4b29-4954-9bff-17e244594d16.jpeg
 
Kudorora

Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity

Hili jukwaa kuna kipindi lilikuwa maarufu mno kiasi cha kuifunika vilivyo chitchat. Huku likiwa na magwiji wake kama marehemu warumi na nifer

Je marehemu anaweza kufufuka? Celebrity lilikufa natural death halikufutwa! Pengine kuna siku mzimu wake utarejeaView attachment 3587605
Hii picha ni Afrika hii hii au nchi za watu?
 
Nyingi sikumbuki japo sio zote
Anyway, naiweka kwa ufupi kama ifuatavyo.

Mshana ni mtu maarufu humu JF, ila watu wengi hawamueshimu bali wanamuogopa. Pia wapo wanaomuheshimu.

Mfano, mara nyingi jamaa hua ana-quote au ana copy and paste maneno Kutoka Kwenye Mada na kuyaweka kama comment yake (sio mbaya) ila tatizo linakuja kwamba watu wanakuja kufurahia paste aliyoifanya Mshana Na kuacha ya mtoa mada wakati pia wameisoma hy point kwenye mada.

Pia aina ya mada zake baadhi, mada hizo hizo ziliandikwa na wengine ni upuuzi ila ziliandikwa na Mshana bc pipoz mnajaa, tusiende Mbali, angalia tuu h mada, the compare Na heshima mnayompa Mshana.

N Sawa na msanii mkubwa anatoa mziki wa kipuuzi unaenda mbali mana n msanii mkubwa.

Siwez kuwa na chuki na yeyote Humu JF, siwezi kuwa na ugomvi na huyu mpare mwenzangu, kwanza tumetoka kijiji kimoja 😂 wote n wana kwangu,
 
Nimeuliza maana karibu kila mada anayoweka unaweka trash 🗑
Ukiwa na maana ni hiyo mada ni takataka ?
Kisaikolojia, tunachokichukia kwa wengine mara nyingi ni kile tunachokiogopa au kukichukia ndani yetu wenyewe. Mtu anaweza kukuchukia kwa sababu unamiliki ujasiri au sifa ambazo yeye angependa kuwa nazo lakini hana uwezo wa kuzipata.
Still feels bold every time I see this faux hawk.jpeg
 
Anyway, naiweka kwa ufupi kama ifuatavyo.

Mshana ni mtu maarufu humu JF, ila watu wengi hawamueshimu bali wanamuogopa. Pia wapo wanaomuheshimu.

Mfano, mara nyingi jamaa hua ana-quote au ana copy and paste maneno Kutoka Kwenye Mada na kuyaweka kama comment yake (sio mbaya) ila tatizo linakuja kwamba watu wanakuja kufurahia paste aliyoifanya Mshana Na kuacha ya mtoa mada wakati pia wameisoma hy point kwenye mada.

Pia aina ya mada zake baadhi, mada hizo hizo ziliandikwa na wengine ni upuuzi ila ziliandikwa na Mshana bc pipoz mnajaa, tusiende Mbali, angalia tuu h mada, the compare Na heshima mnayompa Mshana.

N Sawa na msanii mkubwa anatoa mziki wa kipuuzi unaenda mbali mana n msanii mkubwa.

Siwez kuwa na chuki na yeyote Humu JF, siwezi kuwa na ugomvi na huyu mpare mwenzangu, kwanza tumetoka kijiji kimoja 😂 wote n wana kwangu,
Kumbe hii ndio sababu aisee noma sana Sikujua

Ila nikushauri tu watu hatufanani na Haiwezekani kabisa cha muhimu ukiona mtu huendani na mitazamo yake una muacha tu kuliko kuonesha chuki za wazi wazi

Mfano wewe unavyoongelea nyeto unadhani kila mtu anapenda sio kweli sasa wewe umeona watu wakikuonesha kua hawapendi ?

Na sio kwamba wanakuogopa ila wanaheshimu maoni yako

Pengine upo kwenye ignore list za watu
Na wewe fanya hivyo ukiona mtu humuelewi mtupie huko ili uwe happy
 
Back
Top Bottom