Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Mada inahusu utata wa kifo cha mengi lakini naona imebadilika kuwa ya udini"Waswahili" wengi tunayajua hayo, soma post namba 16, labda wanaojifanya Waswahili lakini si Waswahili maana wengi utakuta lugha mama zao si Kiswahili halafu anajiona Mswahili, Kiswahili utakuta kaanza kukisikia anapoanza shule. Waswahili 100% ni Waislam na hayo yapo ndani ya Qur'an.
Ukoo wa Mengi na hata huyo mkewe mdogo si Waswahili. Kumbuka hilo.