Hata angelia mpaka azimie bado mngesema anaigiza. Binadamu hatuna jema..Alikuwa mkavu sana...nafikiri hata kuigiza kuhuzunika iligoma
Umeshasema "wakadhulumiwa".Kama Uislamu raha kwenye urithi kwa Makonda mlifuata nini. Wengi ya walioenda kwa Makonda kipindi kile cha wanawake waliodhulumiwa urithi walikuwa Waislamu. Sasa ilikuwaje wakadhulumiwa wakati kwenye Uislamu kila kitu kiko wazi kama unavyodai wewe? Wakati mwingine kama huna cha kuandika ni bora kupiga kimya na si kuwapotosha watu haswa kwenye maswala ya Dini.
Muda utasema ,Jac kama anamambo yake yataonekana wazi tu .si unajua ubaya huwa haujifishi ni kama kikohozi.Pia kutokana na umri wa Jac wangemwacha awe huru kwani bado anamahitaji ya kimwili kama binadamu ili awae na mtu
Mkuu mke wa Msuya yupo gerezani?Kwa hiyo afanye mahuaji kwa Sababu umri wake ni mdogo ndio aachwe huru ? Eti kwa Sababu ana mahitaji ya kimwili na kibindamu, mke wa Erasto Msuya na wengineo waliepo gerezani wao wana mahitai ya kirobori na sio ya kibinadamu? Utetezi wa kipuuzi kabisa
na hole ingine inatolewa na marehemu asoyejulikana kazikwa wapi ila anaishi cayman islands!! mwelllmmmm,ila ukizisoma hizo dondoo hapo juu bado zinaacha holes nyingi,will ya marehemu hatuijui na kuibadilisha its a running battles mahakamani na vile vile marehemu imefia kwenye nchi inayojielewa kwa hiyi post-mortem ni lazima afanyiwe ili kujua chanzo cha kifo(sio hiyari kama maelezo hapo juu yanavyotaka tuamini means mjane hakuwa na nguvu za kisheria kuzuia post-mortem)maana ule mwili lazima uandamane na death certificate ambayo chanzo cha kifo ni moja ya information muhimu,urithi wa nyumba na kama hizo nyumba zilikuwa na bonds za mabenki hili linahitaji uthibitisho halafu ni makubaliano kati ya mkopaji na bank iliyokopesha(hii kitu sio for public ingawa marehemu alikuwa ni public figure)nadhani tuipe muda familia to grieve tusiongee mengi na tuelewe kama marehemu hakufa natural death hii kesi sio ya Tanzania itafunguliwa kwenye nchi kulikofanyika crime sio hapa ,na uchunguzi utafanywa na nchi husika na kama watahitaji msaada kutoka Tanzania sasa hapo itategemea uhusiano wetu na nchi alikofia marehemu,na mwisho tuelewe kama kulikuwa na foul suspect kuhusu kile kifo,mjane wake kama ni prime suspect asingeruhusiwa kuondoka na kurudi Tanzania .binafsi hii habari so far hai click na why TISS wampe ulinzi?wakati kisheria ni polisi wanaotakiwa kutoa ulinzi sio TISS.
Whatever the case kwani huyo WiFi yake waliemuua hakua binadamu alikua kuku ? she was involved kwenye murder case ndio maana ,akapelekwa gerezani na huyu kama ameusika in one way or another lazima sheria ifate mkondo wake , Haijalishi umri kama unavyotetea au umaarufu wake ashtakiwe kama hao wenginePole kama nimekukwaza.Kama ameua au ajaua hiyo ni kazi ya ndugu au jamuhuri kumpeleka mahakamani kama hajapelekwa mahakamani hatuhitaji kumhukumu.Mke wa Erasto amepelekwa kwa ajili ya wifi yake na si Mume wake.
Ni ujinga mtupu, in Africa kila kifo lazima kizue maneno ya kijinga watu wajinga waliwahi kukosa adabu kwa mtu muhimu kama Nyerere na kusema ukimwi, itakuwa Mengi. Angekuwa mpiga debe usingesikia chochoteduuu, i'm shocked
Unahasira,Pole just take it easy is also a lesson learned kwetu sote but am sure hata hao ndugu wa Mengi wako smartWhatever the case kwani huyo WiFi yake waliemuua hakua binadamu alikua kuku ? she was involved kwenye murder case ndio maana ,akapelekwa gerezani na huyu kama ameusika in one way or another lazima sheria ifate mkondo wake , Haijalishi umri kama unavyotetea au umaarufu wake ashtakiwe kama hao wengine
mmmm,ila ukizisoma hizo dondoo hapo juu bado zinaacha holes nyingi,will ya marehemu hatuijui na kuibadilisha its a running battles mahakamani na vile vile marehemu imefia kwenye nchi inayojielewa kwa hiyi post-mortem ni lazima afanyiwe ili kujua chanzo cha kifo(sio hiyari kama maelezo hapo juu yanavyotaka tuamini means mjane hakuwa na nguvu za kisheria kuzuia post-mortem)maana ule mwili lazima uandamane na death certificate ambayo chanzo cha kifo ni moja ya information muhimu,urithi wa nyumba na kama hizo nyumba zilikuwa na bonds za mabenki hili linahitaji uthibitisho halafu ni makubaliano kati ya mkopaji na bank iliyokopesha(hii kitu sio for public ingawa marehemu alikuwa ni public figure)nadhani tuipe muda familia to grieve tusiongee mengi na tuelewe kama marehemu hakufa natural death hii kesi sio ya Tanzania itafunguliwa kwenye nchi kulikofanyika crime sio hapa ,na uchunguzi utafanywa na nchi husika na kama watahitaji msaada kutoka Tanzania sasa hapo itategemea uhusiano wetu na nchi alikofia marehemu,na mwisho tuelewe kama kulikuwa na foul suspect kuhusu kile kifo,mjane wake kama ni prime suspect asingeruhusiwa kuondoka na kurudi Tanzania .binafsi hii habari so far hai click na why TISS wampe ulinzi?wakati kisheria ni polisi wanaotakiwa kutoa ulinzi sio TISS.
Dr unazungumziaje Habar ya Mleta post
Mitanzania ni mijingaaaa inapenda sana kaudanganywa.. Mange kawashika akili nao wanaamini..mmmm,ila ukizisoma hizo dondoo hapo juu bado zinaacha holes nyingi,will ya marehemu hatuijui na kuibadilisha its a running battles mahakamani na vile vile marehemu imefia kwenye nchi inayojielewa kwa hiyi post-mortem ni lazima afanyiwe ili kujua chanzo cha kifo(sio hiyari kama maelezo hapo juu yanavyotaka tuamini means mjane hakuwa na nguvu za kisheria kuzuia post-mortem)maana ule mwili lazima uandamane na death certificate ambayo chanzo cha kifo ni moja ya information muhimu,urithi wa nyumba na kama hizo nyumba zilikuwa na bonds za mabenki hili linahitaji uthibitisho halafu ni makubaliano kati ya mkopaji na bank iliyokopesha(hii kitu sio for public ingawa marehemu alikuwa ni public figure)nadhani tuipe muda familia to grieve tusiongee mengi na tuelewe kama marehemu hakufa natural death hii kesi sio ya Tanzania itafunguliwa kwenye nchi kulikofanyika crime sio hapa ,na uchunguzi utafanywa na nchi husika na kama watahitaji msaada kutoka Tanzania sasa hapo itategemea uhusiano wetu na nchi alikofia marehemu,na mwisho tuelewe kama kulikuwa na foul suspect kuhusu kile kifo,mjane wake kama ni prime suspect asingeruhusiwa kuondoka na kurudi Tanzania .binafsi hii habari so far hai click na why TISS wampe ulinzi?wakati kisheria ni polisi wanaotakiwa kutoa ulinzi sio TISS.
Unahasira,Pole just take it easy is also a lesson learned kwetu sote but am sure hata hao ndugu wa Mengi wako smart
Pumba unazo wewe ,una hasira kama vile wewe mtoto wa marehemu .Utakufa kwa pressure kwa Maisha ya watu mkuu.Life is very simple don't complicate your life kwa kuumia na vitu vya watu.Maisha hayarudi nyuma yanasonga Mengi harudi tena duniani ukipata hasira kisa Jacqu ataridhi mali unashida kwani hata yeye atakufa na kuziacha tu what is your problem unless wewe ni mtoto wa marehemu otherwise unashida sanaUna comment pumba , ni afadhali ukae kimya uwaache great thinkers wake na nondo za kumtetea huyo kylin
Jiwe kajamberKwani da'Mage anasemaje?