Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

mmmm,ila ukizisoma hizo dondoo hapo juu bado zinaacha holes nyingi,will ya marehemu hatuijui na kuibadilisha its a running battles mahakamani na vile vile marehemu imefia kwenye nchi inayojielewa kwa hiyi post-mortem ni lazima afanyiwe ili kujua chanzo cha kifo(sio hiyari kama maelezo hapo juu yanavyotaka tuamini means mjane hakuwa na nguvu za kisheria kuzuia post-mortem)maana ule mwili lazima uandamane na death certificate ambayo chanzo cha kifo ni moja ya information muhimu,urithi wa nyumba na kama hizo nyumba zilikuwa na bonds za mabenki hili linahitaji uthibitisho halafu ni makubaliano kati ya mkopaji na bank iliyokopesha(hii kitu sio for public ingawa marehemu alikuwa ni public figure)nadhani tuipe muda familia to grieve tusiongee mengi na tuelewe kama marehemu hakufa natural death hii kesi sio ya Tanzania itafunguliwa kwenye nchi kulikofanyika crime sio hapa ,na uchunguzi utafanywa na nchi husika na kama watahitaji msaada kutoka Tanzania sasa hapo itategemea uhusiano wetu na nchi alikofia marehemu,na mwisho tuelewe kama kulikuwa na foul suspect kuhusu kile kifo,mjane wake kama ni prime suspect asingeruhusiwa kuondoka na kurudi Tanzania .binafsi hii habari so far hai click na why TISS wampe ulinzi?wakati kisheria ni polisi wanaotakiwa kutoa ulinzi sio TISS.
 
Muda utasema ,Jac kama anamambo yake yataonekana wazi tu .si unajua ubaya huwa haujifishi ni kama kikohozi.Pia kutokana na umri wa Jac wangemwacha awe huru kwani bado anamahitaji ya kimwili kama binadamu ili awae na mtu
 
Ukiona mali inaleta utata wa mirathi ujuwe si ya halali au warithi si wa halali.

Uislam raha sana, kwanza maiti azikwe kwa mali yake, pili ilipe madeni yake yote, itayobaki kama ni madeni au mali basi warithi watagawana kama ilivyoandikwa kwenye Qur'an, hesabu zake zipo wazi kabisa ndani ya Qur'an.

Urithi ni hata madeni, si mali tu. "Tajiri" Kama Mengi utakuta alikuwa anacheza na mikopo tu, sasa wacha warithi wagombanie madeni.

Tutaona muda si mrefu kila mmoja akijitoa kwenye mirathi.
Kama Uislamu raha kwenye urithi kwa Makonda mlifuata nini. Wengi ya walioenda kwa Makonda kipindi kile cha wanawake waliodhulumiwa urithi walikuwa Waislamu. Sasa ilikuwaje wakadhulumiwa wakati kwenye Uislamu kila kitu kiko wazi kama unavyodai wewe? Wakati mwingine kama huna cha kuandika ni bora kupiga kimya na si kuwapotosha watu haswa kwenye maswala ya Dini.
 
Muda utasema ,Jac kama anamambo yake yataonekana wazi tu .si unajua ubaya huwa haujifishi ni kama kikohozi.Pia kutokana na umri wa Jac wangemwacha awe huru kwani bado anamahitaji ya kimwili kama binadamu ili awae na mtu


Kwa hiyo afanye mahuaji kwa Sababu umri wake ni mdogo ndio aachwe huru ? Eti kwa Sababu ana mahitaji ya kimwili na kibindamu, mke wa Erasto Msuya na wengineo waliepo gerezani wao wana mahitaji ya kiroboti na sio ya kibinadamu? Utetezi wa kipuuzi kabisa
 
Who knows? Naongea kutokana na experience, may be mengi Kafa kifo cha kawaida.

Ilaaaaa kwenye sheria kuna kitu kinaitwa causation!!!!!

Kwa kifo kama cha Mzee usione watu wana question mkasema ni wivu, kwani ni mtu gani tofauti na mwanafamiliya ya mengi anataka Mali za mengi.???

Msituchoshe as if tuna akili mgando lazima tuangalie mazingira ambayo Mzee Kafa

Walienda Zanzibar, Mara jack akasema watoto hawajaenjoy, waende Dubai (tetesi)

Kwenye msiba wa kibonde Mzee mengi alikuwa anashikiliwa, je yeye jack alipata wapi ujasili wa kumzuluza Mzee wakati anaumwa.

Usolijua ni usiku wa Giza, iko wazi kwamba Jacky asingeweza safiri mwenyewe kunfata mchepuko wake akamuacha Mzee ndani,

Alitumia akili tu waennde wote, akipata upenyo ndio hivyo tena.

Jack amekuwa faraja ya Mzee muda wote waloishi wote hiyo sio siri ila tukubali, kwamba Mzee hakuwa na uwezo wa kumtimizia haja zake za unyumba.(tetesi)

So ni rahisi sana kuwa na mpango kando.
Mzee kama yule hata stress ya kitu kidogo yaweza muondoa duniani.

Mzee Kafa kifo cha kawaida lakini ambacho kimesababishwa na stress sa mambo mengi.

Note. Wanawake tupunguze tamaa, unapendwa umepewa kila kitu lakini haturiziki, binafisi mwanaume akinitimizia mahitaji muhimu, lazima nimvumilie kwa hali yeyote.
Mzee hakwenda kuzurulishwa kama Mange anavyowaambia..

Mzee alienda kukutana na Investors ambao wangefanya Joint Venture kufungua kiwanda cha simu za smartphones Nchini..
 
Dunia ina mengi sana, na ndo maana nakataa kumhusisha Mungu na baadhi ya vifo
 
Kwa hiyo afanye mahuaji kwa Sababu umri wake ni mdogo ndio aachwe huru ? Eti kwa Sababu ana mahitaji ya kimwili na kibindamu, mke wa Erasto Msuya na wengineo waliepo gerezani wao wana mahitai ya kirobori na sio ya kibinadamu? Utetezi wa kipuuzi kabisa
Pole kama nimekukwaza.Kama ameua au ajaua hiyo ni kazi ya ndugu au jamuhuri kumpeleka mahakamani kama hajapelekwa mahakamani hatuhitaji kumhukumu.Mke wa Erasto amepelekwa kwa ajili ya wifi yake na si Mume wake.
 
Back
Top Bottom