Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

Wanawake njoni huku mseme
mnaonaje mafunguo yaloninginia kwenye majinzi yetu. Hii kitu ya
kuninginiza mafungui nimeiona hata moshi, lakini arusha haipo
saaaaana.

kuninginiza funguo ni ushamba kama gari lako utajulikana tu. kuna wengine magari at this age tunaona kawaida.

si kila gari ni gari vingine vifupiiii bora bajaji! come on!! gari? aina gani? na haya mafuriko esp dar???
 
Unazungumzia hawa hawa wanawake ambao kila mada humu inawasema wanatanguliza pesa mbele au wanawake wa dunia ingine? Kiukweli gari inarahisisha mambo, chukulia mfano unatoka out na msichana anakaa mwenge wewe unakaa tabata,unamchukua mwenge mnaenda dinner from there mnapitia movie! Sasa ukiwa na vits yako hapo haizidi hata 15 mafuta sasa kama huna gari itabidi ujitutumue na taxi,bongo hii mida ya saa moja jioni na kuendelea public transport na ki date haviendi pamojs,ukichanganya na inconvinience za kushuka daladala hii na kupanda ile date inakuwa kero!!! acha tu wanawake wapende wanaume wenye magari!

Utakuwa unawazungumzia wakina dada wanaoishi mjini kwa kuuza papuchi...mimi nawazungumzia miss independent...ambaye anajua anataka nini kwa mwanaume..ambaye anajua kuwa mwanaume ni zaidi ya kuwa na gari....hao wenye magari kila siku wanaleta kesi kuwa wauza chipsi wanawatafunia....wake zao...
 
Lakini mi nadhani kila mtu na perception yake kuhusu masuala haya. Lakini kitu kama gari ni just basic need kwa nyakati hizi tulizo nazo wala si show off kama wengine wanachofanya.
 
Mweh!,.... kweli maajabu hayaishi duniani, itabidi kina dada tuongeze maarifa, sitaki kuona funguo tu mradi za gari, ntataka kuona what kind of a car U pushing, halafu ndo nikupime.....

Definitely yaaan ladies we have to be sharp like ocean sharks. wanatuzidi maarifa hawa jamaa tusipokuwa makini watatuchezea nusu uwanja.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Definitely yaaan ladies we have to be sharp like ocean sharks. wanatuzidi maarifa hawa jamaa tusipokuwa makini watatuchezea nusu uwanja.

Okey hata kama nitakuwa naendesha range rover evoque au bmw x6 then what? Do you think after that ndio litakuwa la kwako? You ladies kuweni na independent thoughts.
 
Utakuwa unawazungumzia wakina dada wanaoishi mjini kwa kuuza papuchi...mimi nawazungumzia miss independent...ambaye anajua anataka nini kwa mwanaume..ambaye anajua kuwa mwanaume ni zaidi ya kuwa na gari....hao wenye magari kila siku wanaleta kesi kuwa wauza chipsi wanawatafunia....wake zao...

Sometimes try to be realistic!
 
Mkuu inategemea umevaaje yaani umevaa cadet model au jeans model say na t-shirt kwa nini ujibane kulazimisha funguo zikae mfukoni wakati unakuta kuna funguo ya gari hapo,funguo za nyumba atleast two na remote ya gari zipo attached pamoja. Utaweka zote hizo mfukoni mkuu???

Hebu angalia hao masharobaro hapo hamna hata mmoja mwenye rundo la funguo,mwenye funguo nyingi mbili,tena mmoja zote mbili za gari! BTW hata ukiwa na rundo LA funguo kuzining'iniza hapo ni kero zaidi ndio maana huwa wananin'iniza funguo za gari tu!
 
Aina ya gari ina push mtongozo, huo ndiyo ukweli
hilo nalo neno malaika.imagine on the our first date,nakupitia kazini kwako na mnyama kama huyu.kibongo bongo mashosti zako watasema umeyapatia maisha kwa ku-date na kigogo wa serikali kumbe dereva wa waziri na gari ni mali ya wizara. :lol::lol:
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom