Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
Wadau wa MMU habari za toka mwaka jana. Nakumbuka mara yangu ya mwisho kuanzisha mada hapa ilikuwa ni december 2014. Nimekuja tena na mada nyepesi tu, bila shaka mtaipenda.

Kibongo Bongo: How to let ladies Know You Own a Car

kuning'iniza funguo za gari kwenye suruali ndio habari ya mjini kwa sasa kwa wakaka wa mjini. Haijalishi ni gari la kuazima au la kwake, ni ku-show off tu na kuning'iniza ''mafunguo'' kwa kwenda mbele ili kuopowa warembo.

Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia,moja ya vitu vinavyo "wapagawisha" sana wadada wa mijini, ni magari ya kutembelea.

Gari ina mvuto sana ktk mapenzi na zimesababisha wadada wengi kujikuta wanatoa penzi bila hata wao kujitafakari kwa kina.

Rafiki yangu huyo aliendelea kuniambia, kwa mkaka kuning'niza funguo za gari kwenye suruali, inamuongezea hadhi mbele ya mwanamke/wanawake, pia inasaidia kupeleka ujumbe wa kimya kimya kwamba "nimekuja na gari langu".

Kwa sisi wakaka ambao tumeshindwa kumiliki hata Vitz au toyota Passo, tuwe wapole tu, mademu wenye viwango tutaishia kuwaota ndotoni, hatuna magari, tutaning'iniza nini? Labda funguo za bodaboda.

They say if you've got it, flaunt it!.so ladies how do you provoke a brother if you want to notify him you own a car?

6791f7e9dbc66ff856c20a902a84306d.jpg
 
Mimi sina gari (well it doesn't matter if I have one) ishu ya kuning'iniza funguo inawezekana ni kuuweka salama zaidi. But I don't see inaweza kuwa a valid point kwa baadhi ya watu kama sisi tunaopenda ku lay low hatuhangaiki na mifunguo tunakuwa na ki remote kidogo tu na funguo iko attached kwenye remote incase of emergency.
 
ila kwa vijana wengi hiyo huitumia kinyume chake,labda kwa wale wenye uzoefu wa kumiliki/kuendesha magari tangu wakiwa sekondari au vyuoni.
 
Wanawake njoni huku mseme mnaonaje mafunguo yaloninginia kwenye majinzi yetu. Hii kitu ya kuninginiza mafungui nimeiona hata moshi, lakini arusha haipo saaaaana.
 
Wanawake njoni huku mseme mnaonaje mafunguo yaloninginia kwenye majinzi yetu. Hii kitu ya kuninginiza mafungui nimeiona hata moshi, lakini arusha haipo saaaaana.
mkuu,kwa hapa dar hiyo kitu mpaka kero.kila chalii anataka naye aonekane anamiliki gari mjini.SMH.
 
Wengine Ni Madereva Wa Skul Bus Au Gari Za Kampuni!.Lakini Wanawake Wakiona Tu Funguo Wanababaika.Mademu Wanakazi Sana Tuwahurumieni!
 
Japo naendesha BUDEGE lakini nikiuning'iniza hawatajua .
 
Wengine Ni Madereva Wa Skul Bus Au Gari Za Kampuni!.Lakini Wanawake Wakiona Tu Funguo Wanababaika.Mademu Wanakazi Sana Tuwahurumieni!
tatizo wadada hawaelewi,yeye akikuona tu umepaki ki verossa maeneo na kuonyesha funguo,anajua ni gari lako,kumbe ni ya kuazima.wengi sana wamemegwa kwa kupitia magari.
 
Hahahaha sasa hivi macho yatakuwa kwenye suruali kabla ya maongezi marefu
 
Back
Top Bottom