kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Mkuu huyu Mjerumani right?!, they have luxurious cars!, ni kweli German Police cars ni Mercedes?!
Wow!, Yegomasika akijipitisha pitisha na kama hii nami ntajifanya naenda nje "jogging".....lol!
Wewe tulia.... Natafuta pa kuiazima!. Nakwambia lazima nipite mitaa ya kwenu!.
Hawa ni Wajerumani Mkuu, hili la magari ya polisi kule Ujerumani kama ni Mercedez Benz sina uhakika nalo Mkuu. Ila kama unavyosema magari yao ni mazuri sana, very expensive na yanapendwa na wengi duniani.
Nice cars!, I think ni audi na Bimas!
he is right,cos wenyewe wanasema if couples do their "jogging" in unusual places like cars or whatever,their final frontier is so powerful.crazyyyyyy.:lol::lol::eyebrows:
Hapo Bimas umeniacha kwenye picha ya askari au ndiyo Beba Mama na Watoto (BMW). Gemany it is one of the richest countries in the World they can afford to supply their police dept with expensive cars.
kuna hawa waarabu wa dubai,nawao hawapo nyuma ktk kutumia luxury cars kwa police wao.wameenda mbali zaidi,ni mwendo wa lamborghini kwa kwenda mbele.Yeah BMW,....lakini man!, wengine tunahangaika hatuna hata magari ya polisi ya kutosha Wenzetu kwenye police station zao wana park Audis na Bimas, tutafika tu na sisi lakini tujipe moyo.....lol!
Funguo zote ninazoziona hapo ni za Toyota tena za 2003 kushuka, over 10yrs old cars! Ningekuwa mimi hizo funguo ningeficha kabisa!
Yeah BMW,....lakini man!, wengine tunahangaika hatuna hata magari ya polisi ya kutosha Wenzetu kwenye police station zao wana park Audis na Bimas, tutafika tu na sisi lakini tujipe moyo.....lol!
Hawa ni Wajerumani Mkuu, hili la magari ya polisi kule Ujerumani kama ni Mercedez Benz sina uhakika nalo Mkuu. Ila kama unavyosema magari yao ni mazuri sana, very expensive na yanapendwa na wengi duniani.
Mkuu huyu Mjerumani right?!, they have luxurious cars!, ni kweli German Police cars ni Mercedes?!
Binamu Kwani nawe unapenda Wenye kuninginiza funguo....???
inakuwa vyema kabisa....Haaaa binamu hapana kwakweli.... me hata kama una bajaji kama roho imekupenda kiroho swafii tu