Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

wenye vi Toyota ndio wanaongoza kutundika mafunguo kwenye suruali

hukuti funguo ya the ultimate German driving machine mtu katundika kwenye suruali
ni kweli mkuu,
it's very rare kupata watu wano push mercedes benz,range rover vogue au cruiser prado wananing'iniza funguo kwenye suruali.mara nyingi ni wale wanaotembelea magari jamii ya vitz na verossa.

mnyama kama huyu,funguo yake huwezi kuiona ktk suruali yangu.hahaha
Mercedes-Benz_GL_350_BlueTEC_4MATIC_Sport-Paket_AMG_(X_166)_%E2%80%93_Frontansicht,_31._Dezember_2012,_D%C3%BCsseldorf.jpg
 
MK254
vipi vijana wa nairobi,nao wana tabia kama ya vijana wa dar?.naona siku hizi nai vijana wengi wanamiliki probox,yaani imekuwa ni kama gari la taifa kwa kenya.
1391436484_597279576_5-probox-on-sell-all-inclusive-new-car-Nairobi.jpg
 
Nakumbuka nilichangia hii mada mwaka jana ila sasa naifuta kauli!! Naifuta kauli kwa kuwa nimejua umuhimu wa kuninginiza funguo...ilitokea ivi siku ya kwanza nilikuwa natokea namanga na gari yangu mpya , nilipofika mbele kidogo custom officer akanisimamisha tukakague GARI, nikazima gari then ufunguo mkononi! Nikazunguka nyuma ya gari ili mizigo ikaguliwe! Ikawa ni kupakua mizigo yote! Kijana nikajichanganya nikaweka ufunguo juu ya box uku tukishusha mabox, upepo ukaja kasi na kubamiza boot ikajifunga- kifuatacho nilimtafuta Fundi kubomoa kuutoa na kulazimika kulala mpakani! Fundi kufika tu akasema kwa kejeli! Lete hela si mnatuonaga sisi kuninginiza funguo kwenye suruali ni ushamba!! Lete pesa APA!! Ikala kwangu!!

Safari ikaendelea maisha takasonga!!

Kilichonifanya niunge mkono ujinga wa kuninginiza funguo ilikuwa mwezi wa January nilipoenda night club na kuweka kipochi cha funguo mfukoni pamoja na simu- wajanja wakavuta kipochi na cm! Muda wa kuondoka niliusaka ucunguo bila mafanikio-
Ikawa usiku ikawa asubuhi siku ya pili!
Kutafuta fundi niliambiwa funguo hauchongeki! Izi gari ukipoteza unaorder upya kwa manufacturer! Hapo ndio majonzi yalianza....sasa nikaingia kwenye website nikasubmit details ndio nikaletewa invoice ya USD 760 na order time 21 days!!
Nimepoteza 1,410,000/= eti kwa kuhofu kuninginiza funguo!!

Liwalo na liwe NIMEJIUNGA KWENYE CHAMA CHA WANINGINIZA FUNGUO!!
 
kaka pole sana kwa masahibu yaliyo kukumba ambayo kwa namna fulani yalisababishwa na "kuto ning'iniza funguo kwenye surauali".
nimependa ulivyohitimisha hapo chini....CHAMA CHA WANINGINIZA FUNGUO(CWF).:lol::lol:
 
Mweh!,.... kweli maajabu hayaishi duniani, itabidi kina dada tuongeze maarifa, sitaki kuona funguo tu mradi za gari, ntataka kuona what kind of a car U pushing, halafu ndo nikupime.....

MK254
vipi vijana wa nairobi,nao wana tabia kama ya vijana wa dar?.naona siku hizi nai vijana wengi wanamiliki probox,yaani imekuwa ni kama gari la taifa kwa kenya.
1391436484_597279576_5-probox-on-sell-all-inclusive-new-car-Nairobi.jpg

Gari ya Taifa ya nchi kuba kimaendeleo Africa Mashariki na kati!

Cc MK254
 
Last edited by a moderator:
Gari ya Taifa ya nchi kuba kimaendeleo Africa Mashariki na kati!

Cc MK254
ila ni gari poa sana kwa watu wa kazi.hata wakora wa nairobi hutumia sana probox wanapo enda kufanya ukora wao.
 
Mi binafsi mwanaume ukija kunilisha sumu huku umening'iniza mifunguo kama store keeper lazima ule za uso bse ntakuona bushmen. Huna uwezo wa kujieleza hadi back up ya funguo..Mi maneno yananteka zaidi sio unyangema huo.
 
kaka pole sana kwa masahibu yaliyo kukumba ambayo kwa namna fulani yalisababishwa na "kuto ning'iniza funguo kwenye surauali".
nimependa ulivyohitimisha hapo chini....CHAMA CHA WANINGINIZA FUNGUO(CWF).:lol::lol:

Ah ah ah karibu kwenye chama iki mkuu , Nimependa abbreviation CWF ....
Ni bora uonekane unazo kuliko ufiche then utaabike kama yaliyonikuta!! Nimeapa siweki tena funguo chini, mezani au mfukoni!! Ni aidha umeninginia au gari iko on, au uko mkononi! Whatever they say- sitaingia gharama kizembe !!
 
Mi binafsi mwanaume ukija kunilisha sumu huku umening'iniza mifunguo kama store keeper lazima ule za uso bse ntakuona bushmen. Huna uwezo wa kujieleza hadi back up ya funguo..Mi maneno yananteka zaidi sio unyangema huo.
nimependa msimamo wako vitaimana.wengine magari yanakuwa siyo yetu.tunayatumia tu kulia bata,mwisho wa siku tunayarudisha kwa wenyewe:lol:.
 
Back
Top Bottom