Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

Sikuwa najua hilo




Ila muundo wa probox unanipa hasira

Sijui aliyedesign alikuwa anawaza nini
hilo la muonekano hata mimi halinivutii,yaani ile siyo gari ya "kudanganyia" mademu kabisa.imekaa kishamba sana.:biggrin:
 
Kila mwindaji ana mbinu yake, The tacnique is good for cows not for tigers like us..MISS CHAGA njoo huku...
 
Wanawake njoni huku mseme mnaonaje mafunguo yaloninginia kwenye majinzi yetu. Hii kitu ya kuninginiza mafungui nimeiona hata moshi, lakini arusha haipo saaaaana.

hapa unakamata wale madent na watoto wa chuo ila sio mwanamke anayejitambua.
 
Ah ah ah karibu kwenye chama iki mkuu , Nimependa abbreviation CWF ....
Ni bora uonekane unazo kuliko ufiche then utaabike kama yaliyonikuta!! Nimeapa siweki tena funguo chini, mezani au mfukoni!! Ni aidha umeninginia au gari iko on, au uko mkononi! Whatever they say- sitaingia gharama kizembe !!

nakumbuka mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000,kabla smartphones hazija ingia tanzania,ilikuwa ni trend kwa vijana wa wakati huo kutembea na diaries mikononi.lilikuwa ni jambo la kawaida kwa mitaa ya somara avenue kuona wakaka watashati wameshika diary books.ingekuwa siku hizi tungewabunia jina la chama-CHAMA CHA WABEBA DIARIES-CWD.:lol:
 
Mi binafsi mwanaume ukija kunilisha sumu huku umening'iniza mifunguo kama store keeper lazima ule za uso bse ntakuona bushmen. Huna uwezo wa kujieleza hadi back up ya funguo..Mi maneno yananteka zaidi sio unyangema huo.

BushmAn
 
Baada ya kumsaundisha kwa muda mrefu, kuna siku kanipigia simu sikupokea alikuwa na shida zake tu. Badae kumpigia hakupokea kama siku mbili iv, ikabidi nimwambie. Usikasirike maana juzi wakati unanipigia nilikuwa niko highway nadrive sikuweza kupokea. Alivosikia ivo akaniambia next weekend nakuja kukutembelea...yaan wadada kazi sana et kaamua kuja kwasababu kasikia nna gari. Mtaibiwa sana
 
Baada ya kumsaundisha kwa muda mrefu, kuna siku kanipigia simu sikupokea alikuwa na shida zake tu. Badae kumpigia hakupokea kama siku mbili iv, ikabidi nimwambie. Usikasirike maana juzi wakati unanipigia nilikuwa niko highway nadrive sikuweza kupokea. Alivosikia ivo akaniambia next weekend nakuja kukutembelea...yaan wadada kazi sana et kaamua kuja kwasababu kasikia nna gari. Mtaibiwa sana
hahahaha nimecheka sana.asante mkuu kwa kuifanya weekend yangu iwe poa.
 
ni kweli mkuu,
it's very rare kupata watu wano push mercedes benz,range rover vogue au cruiser prado wananing'iniza funguo kwenye suruali.mara nyingi ni wale wanaotembelea magari jamii ya vitz na verossa.

mnyama kama huyu,funguo yake huwezi kuiona ktk suruali yangu.hahaha
Mercedes-Benz_GL_350_BlueTEC_4MATIC_Sport-Paket_AMG_(X_166)_%E2%80%93_Frontansicht,_31._Dezember_2012,_D%C3%BCsseldorf.jpg

au mnyama kama huu volvo xc90
nya-volvo-xc90-20151.jpg
 
Kwa wale wanaofanya kwa ujiko naweza sema ni ugeni wa mambo wakizoea wataacha tu na kwa wale wengine labda ana wasi anaweza kupoteza funguo na nguo alizovaa pengine mifuko mifupi au kuna nguo nyingine zile ambazo mifuko inakuwa imeshonewa kwa nje(mfano wa mifuko) lakini ndani hakuna mifuko sioni tatizo
 
Back
Top Bottom