Komaa ununue la kwako Evalyn vya watu masharti yake magumu.
Watakula magari nimetanguliza kibanda changu najua nina sehemu ya kuegeshaa mbavu hiyo gari ngoja nijipange
Watu kama wewe mnipitie mita mia tanoWatakula magari nimetanguliza kibanda changu najua nina sehemu ya kuegeshaa mbavu hiyo gari ngoja nijipange
Watu kama wewe mnipitie mita mia tano
Hahahaha....sasa unajua nini mrembo,kwa kukurahisishia jenga mazoea ya kuhudhuria mashindano ya magari yanayofanyika hapa nchini.Mi jamani huwa natamani wanaume wote wenye magari wawekwe chata kwenye paji la uso
Hahahahaha........mkuu umetishaaaa...mi nlishachongesha ufunguo wangu... nkifika town nauvaa, jioni baada ya mishe nauchomoa nasubiria uda za kimara mwisho!!!
Halafu wenye vigari hivyo wanaongoza kwa kuweka tinted kwani ni mobile gest house na usiku wana washa full lightwenye vi Toyota ndio wanaongoza kutundika mafunguo kwenye suruali
hukuti funguo ya the ultimate German driving machine mtu katundika kwenye suruali