Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

hizi shobo za gari ziko vere siliasi eeee
hakuna shaka kwamba gari zimewavusisha wadada wengi ch*pi....binti anakuja stuka when it's too late that the guy wasn't the owner but a part time driver .:lol::lol::lol:
 
Aiseeee ..... Inasikitisha part time driver let say he was sent to wash a car huhuhuuuu ......drawing cards though😡😡😡
 
lol! Khe khe kheeeeee! Sasa hapo ndipo mnapokusikia Kui. Mwingine anaweza kabisa kuwa na mapenzi ya kweli lakini swali kama hili linaweza kumfanya afikie hitimisho la kupoteza muda tu akishajichokea anasepa taratibu hivyo kumuacha mrembo akilalama "Yule mkaka alikuwa hana mapenzi ya kweli kanipotezea tu muda wangu" Mnapotanguliza maswali kama haya hata kabla ya penzi kuchanganya njemba hustuka na kufanya yao kwa kujua hapa hakuna penzi.

Umechoma penyewe BAK ,..... huu ni ukweli mpaka unauma!, yaani mtu unaweza ku miss something really good kwa sababu zisizo na msingi. Lakini ndo mfumo wa maisha kwa sasa ambapo wengi wetu bado tunaona gari kama luxury!, wakati kwingineko imekuwa necessity na kuwa nayo ni kawaida. Au hata kama huna, no biggie cause kuna njia nyingine nzuri, salama na comfortable za usafiri.
 
Last edited by a moderator:
You're one in a million....Inafurahisha kusoma kama bado wako warembo wenye mawazo kama haya. Baadhi ya njemba siku hizi kwa kutaka kupima kama kuna penzi la kweli hata kama wana hali nzuri kimaisha mwanzoni hujifanya watu wa maisha ya kawaida sana. Sasa kama mrembo si wale wenye "subira yavuta heri" basi inaweza kula kwake.

Awww!, Thanks mkuu!,.....ni kweli kabisa someone can loose a diamond while chasing glitter!
 
Kwangu mimi sidhani kama ni kujionyesha ila kwa mwanaume hiyo ni sehemu salama ziadi ya kuweka funguo za gari kwa maana huwezi zisahau sehemu maana unakuta mtu unapita maeneo mengi. Kwa wanawake wao wana mapochi. So kwa nwanaune sehenu salama ni kuni ng'iniza hapo.
 
Hupendi kutembea kwenye vumbi huku umeshikwa kiuno? Utaona aibu kushikwa kiuno hadharani? Niliwahi kuulizwa hili swali sikulipenda kusema kweli. Ndiyo date ya kwanza Dinner & Dance sehemu moja maarufu sana jijini. Namkumbushia tu mrembo kesho Jumamosi nitakuja kukuchukua saa mbili akaniambia sawa likafuata swali, "Una gari?" nikamwambia mimi nimekwambia saa mbili nikukute uko tayari. Huwa nikimuona namtania na hili swali lake "una gari?" tunaishia kucheka tu lol!

ha ha ha ila kutembea nmeshikwa kiuno pia inapunguza machungu kwakweli
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kujiamini kwa mwanamume ni zaidi ya kuwa na gari la kutembelea....siri ni kutambua tu mwanamke anataka nini kutoka kwa mwanaume na kumtimizia huku ukimuacha akijivunia kukutana na mwanaume....si kwa gari lako bali kwa ulimchomtimizia...ndicho kinachowafanya wenye magari kukimbiwa na kupewa papuchi sisi wabeba zege........take it
 
Umechoma penyewe BAK ,..... huu ni ukweli mpaka unauma!, yaani mtu unaweza ku miss something really good kwa sababu zisizo na msingi. Lakini ndo mfumo wa maisha kwa sasa ambapo wengi wetu bado tunaona gari kama luxury!, wakati kwingineko imekuwa necessity na kuwa nayo ni kawaida. Au hata kama huna, no biggie cause kuna njia nyingine nzuri, salama na comfortable za usafiri.
We don't have a voice..when our heart make choice........
 
Wadada funguo tunahifadhi kwenye pochi......

asante kwa maoni yako,hakika nimeyapenda.

ila kuna swali moja niliuliza,mpaka sasa hakuna mdada aliyelijibu.nauliza tena,kwa mdada ili kumuonyesha mkaka kwamba yuko vizuri,amekuja na "dinga" yake mwenyewe,funguo mnahifadhi wapi.sisi wakaka ni kwenye suruari,nyinyi je?.:eyebrows:

Ukiona mdada funguo.mkononi wakati ana mpochi mkuuuuuuuuubwa ujue
1. Mshamba (ndio analimbuka)
2. Gari kaazima hivyo anashowoff
3. Kahongwa

Ila sijajibu swali lako
 
Kwangu mimi sidhani kama ni kujionyesha ila kwa mwanaume hiyo ni sehemu salama ziadi ya kuweka funguo za gari kwa maana huwezi zisahau sehemu maana unakuta mtu unapita maeneo mengi. Kwa wanawake wao wana mapochi. So kwa nwanaune sehenu salama ni kuni ng'iniza hapo.

Kwa mfano ukiweka mfukoni utazisahau?!
 
Kujiamini kwa mwanamume ni zaidi ya kuwa na gari la kutembelea....siri ni kutambua tu mwanamke anataka nini kutoka kwa mwanaume na kumtimizia huku ukimuacha akijivunia kukutana na mwanaume....si kwa gari lako bali kwa ulimchomtimizia...ndicho kinachowafanya wenye magari kukimbiwa na kupewa papuchi sisi wabeba zege........take it

Unazungumzia hawa hawa wanawake ambao kila mada humu inawasema wanatanguliza pesa mbele au wanawake wa dunia ingine? Kiukweli gari inarahisisha mambo, chukulia mfano unatoka out na msichana anakaa mwenge wewe unakaa tabata,unamchukua mwenge mnaenda dinner from there mnapitia movie! Sasa ukiwa na vits yako hapo haizidi hata 15 mafuta sasa kama huna gari itabidi ujitutumue na taxi,bongo hii mida ya saa moja jioni na kuendelea public transport na ki date haviendi pamojs,ukichanganya na inconvinience za kushuka daladala hii na kupanda ile date inakuwa kero!!! acha tu wanawake wapende wanaume wenye magari!
 
wenye vi Toyota ndio wanaongoza kutundika mafunguo kwenye suruali

hukuti funguo ya the ultimate German driving machine mtu katundika kwenye suruali

Hapa utatukanwa tu we subiri, kuna jamaa nilimtani gari cc 650-1500 ni za wanawake na ana ist, ni ugomvi mpk leo. Sasa hiyo yeboyebo to yo ta lazima utukanwe ndo gari za hali ya chini ambao ni majority
 
Kwa mfano ukiweka mfukoni utazisahau?!

Mkuu inategemea umevaaje yaani umevaa cadet model au jeans model say na t-shirt kwa nini ujibane kulazimisha funguo zikae mfukoni wakati unakuta kuna funguo ya gari hapo,funguo za nyumba atleast two na remote ya gari zipo attached pamoja. Utaweka zote hizo mfukoni mkuu???
 
1427607423367.jpg
 
Back
Top Bottom