kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,643
- 19,036
hilo nalo neno malaika.imagine on the our first date,nakupitia kazini kwako na mnyama kama huyu.kibongo bongo mashosti zako watasema umeyapatia maisha kwa ku-date na kigogo wa serikali kumbe dereva wa waziri na gari ni mali ya wizara. :lol::lol:
![]()
Ah., rafiki kuna mazingira ambayo huwezi kuacha kung'oa..