how sure are you that the gun had a bullet?.Hivi unapotaka kushoot mtu dead unaanza kumng'oa meno na kucha kwanza.au unashoot then unapotea?ukichukulia tukio lenyewe limefanyika nje ya nyumba yake ni mtu mjinga tu anapoanza kumtorture mtu ambae the really mission is to kill him.
The really mission was to commit the crime and flame it to the government police or security apparatus.
Hypothesis yangu ni kuwa waliofanya tukio hili na lile a Ulimboka ni wahalifu na sio serikali kutokana na hiyo unayoiita Modus Operandi.
Kwa vile jamii ilijengwa kuamini kuwa ni serikali, ndio maana wahalifu wakachomekea vile vile ''Afande mshuti''
Ni mazuzu tu watakaoamini kirahisi kwamba hao ni maafande. Hao huenda walikuwa rafiki zake tangu zamani ila wakabadilika kuwa mahasimu. Acha FBI na CIA wahusishwe.
Karibu Masijala: Ni kweli kwamba hili tukio limetokea na inaleta mantiki the way ulivyopost ila nilitaka nikurekebishe kidogo pale kwenye nyekundu, Muhanga wa tukio hili alisema alikuwa akitokea kuangalia football match kati ya Man U vs Real Mad.
Ila hii haibadirishi maudhui ya Post yako. Tungoje Jeshi la Polisi hiyo tume iliyoundwa nina imani itakuja na vibweka vya kufa mtu. Kuna wengine wanadai eti yawezekana Kampuni miliki ya Gazeti la Tanzania Daima imehusika. Ngoja tusubiri.
Wanapoteza ushahidi upi wakati lengo lilikuwa ni kuua. Je bunduki ingefyatuka hayo maneno tungeyasikia kwa nani?
Wamekwishaunda tume nyingine ambayo sioni umuhimu wake,tumezoea kufanya kazi kwa mazoea na kila likitokea jambo tunaunda tume na kutumia pesa nyingi za watanzania walipa kodi.mwishowe watateu mitume kuchunguza, hawa viongozi wetu wajinga sana..... ile ya kubenea,ulimboka na nyinginezo zimeishia wapi?
Kama hujafeli form four mwaka huu wewe sijui, uwezo wako wa kupambanua mambo naanza kuutilia mashaka. Ataogopaje kusema afande mshuti wakati anajua nini kitatokea baada ya kushuti?
Au unafikiri na wao hawajui kama wakisema afande mshuti mtakuwepo watu kama nyinyi msiojua kupambanua mambo ambao mtaona kama ni maafande wasingesema afande mshuti.
Pia kama wahaini hawaachi alama yeyote iweje wanakuja julikana?
Usijali rudia paper z year nasikia serikali inagharamia
Kama hujafeli form four mwaka huu wewe sijui, uwezo wako wa kupambanua mambo naanza kuutilia mashaka. Ataogopaje kusema afande mshuti wakati anajua nini kitatokea baada ya kushuti?
Au unafikiri na wao hawajui kama wakisema afande mshuti mtakuwepo watu kama nyinyi msiojua kupambanua mambo ambao mtaona kama ni maafande wasingesema afande mshuti.
Pia kama wahaini hawaachi alama yeyote iweje wanakuja julikana?
Usijali rudia paper z year nasikia serikali inagharamia
.......
Wamekwishaunda tume nyingine ambayo sioni umuhimu wake,tumezoea kufanya kazi kwa mazoea na kila likitokea jambo tunaunda tume na kutumia pesa nyingi za watanzania walipa kodi.
.......
Akizungumza kwa tabu alipokuwa chumba cha wagonjwa ICU, Hospitalini Moi, alisema, "Nilifika nyumbani kwangu kama saa 6 usiku nikitokea kazini tulikuwa tunafuatilia uchaguzi wa Kenya tukaona hamna la maana.
Nilipofika kwenye lango la kuingia ndani nilipiga honi ili mlinzi anifungulie. Lakini ghafla nilivamiwa na kundi la watu ambao walivunja kioo cha gari langu... Nilitokea kupitia mlango wa abiria lakini sikuweza kukimbia kwani walinikamata na kuanza kunishambulia kwa vitu vizito... niliona kama watu 3 hivi...
Sikufahamu kilichojiri, lakini nilisikia mwingine akimwambia mwenzake afande 'mshuti...mshuti' huyo alipoelekeza mtutu na kujaribu kushuti' ilikuwa kama vile imegoma.
Nikiwa bado niko chini, wakanipiga kwa kitu cha ncha kali kwenye jicho la kushoto, wakaningoa meno na kucha ktk vidole vya mkono wa kulia, walinipiga sana na nilipata maumivu makali. Baada ya kunipiga na kunijeruhi waliniburuza hadi pembeni ya nyumba na kunitupa na wakaondoka, badaye majirani na wasamaria wema walikuja kuniokoa.
Mbowe na Tanzania Daima wanayo siri ya Kutekwa na Kujeruhiwa kwa Kibanda
Salaam Wakuu,
Tasnia ya Habari kwa sasa imejawa na simanzi kutokana na kitendo cha kuvamiwa na kuumizwa na watu ambao hawajabainika walikuwa na lengo gani.
Mimi kwa ujumla nimesikitishwa sana kutokana na tukio hilo na nawalaani wote waliohusika. Aidha, natumia fursa hii kumuombea ndugu yetu Kibanda apone kwa haraka ili arejee nyumbani salama kuungana na familia yake na hatimaye kuendelea na majukumu yake.
Baada maelezo hayo, naomba kwa pamoja tutafakari mambo yafuatayo;
- Juzi Jumanne tarehe 05/03/2013 kulikuwa na kikao cha wadau wa demokrasia nchini kilichoandaliwa na Kituo cha Demokrasia nchini (Tanzania Centre for Democracy – TCD). Wenyeviti wa vyama vyote vya siasa ni wajumbe na walipata barua za mwaliko kuhudhuria kikao hicho. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), FREEMAN MBOWE, ni miongoni mwa wajumbe walioalikwa. Hata hivyo, Mbowe alitoa udhuru ya kutohudhuria kikao hicho kwa madai kuwa atakuwa jimboni kwake, Hai kuhudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri wilaya ya Hai (Full Council). Hizi zote ni facts na mimi nikiwa miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho, nilimsikia ANTHONY KOMU, Mkurugenzi wa Utawala wa CHADEMA ambaye ndiye alimwakilisha Mbowe akitoa maelezo hayo.
- Hata hivyo, katika tukio la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwaAbsalom Kibanda, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri wa New Habari Corporation (2006), Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana Hospitali ya Taifa ya Mhimbili akimjulia hali ndugun yetu Kibanda.
- Pia hakuna uthibitisho kuwa Mbowe alienda jimboni kwake kama alivyodai wakati akitoa udhuru wa kutohudhuria kikao cha TCD.
- Kwa vile kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa, KIBANDA amekuwa na mgogoro na Tanzania Daima gazeti ambalo linamilikiwa na FREEMAN MBOWE, na kwa vile KIBANDA ana siri nyingi sana za CHADEMA na kwa hali hiyo viongozi wa Chama hicho wanamuona kama ni adui, na kwa kuwa kitendo cha Mbowe kutohudhuria kikao cha TCD kilitumika tu kama ushahidi wa yeye kutokuwepo Dar es Salaam wakati wa tukio hilo na hivyo asiwe mshukiwa nambari moja, kitendo cha yeye kuonekana Hospitali ya Mhimbili akimsalimia KIBANDA, kilinishtua na kuniachia maswali mengi.