Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,718
- 287,574
Inahuzunisha sana! Mungu amjaalie apone haraka.
Wasi wsi wangu ni kuwa kuna watu wana ajenda ya siri na serikali. Wana plot haya matukio ili kuichafua serikali iliyopo madarakani.
Kimantiki, baada ya tukio la Ulimboka, usingetegemea serikali (kama ndio waliohusika na Ulimboka) kurudia the same tactics. Haingii akilini.
Serikali lazima iact seriously na hili genge la wahalifu, kinyume chake wananchi watashindwa kuofautisha.
.......
Kwa nini unaiondoa Serikali hii kwenye hili haraka namna hiyo ? Tafakari kidogo kaka !