KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

how sure are you that the gun had a bullet?.Hivi unapotaka kushoot mtu dead unaanza kumng'oa meno na kucha kwanza.au unashoot then unapotea?ukichukulia tukio lenyewe limefanyika nje ya nyumba yake ni mtu mjinga tu anapoanza kumtorture mtu ambae the really mission is to kill him.
The really mission was to commit the crime and flame it to the government police or security apparatus.

This can also be a one os security apparatus failed or mishandled missions-like the case of Ulimboka.
The apparatus fails due to recruiting incompetence people based on ndugu naizesheni. Evil mission excuted by incompentent people.
Mambo ya system ya mr Dhaifu.

No, they must go for the cup is now overflowing.
 
Inahuzunisha sana! Mungu amjaalie apone haraka.

Wasi wsi wangu ni kuwa kuna watu wana ajenda ya siri na serikali. Wana plot haya matukio ili kuichafua serikali iliyopo madarakani. Kimantiki, baada ya tukio la Ulimboka, usingetegemea serikali (kama ndio waliohusika na Ulimboka) kurudia the same tactics. Haingii akilini. Serikali lazima iact seriously na hili genge la wahalifu, kinyume chake wananchi watashindwa kuofautisha.

You cant be serious!!!
Hii ni hesabu ndogoo tuu sanaa, hivi kama serikali haihusiki mbona hatujasikia ikichukua maelezo ya Dr Ulimboka na kuyafanyia kazi?!!!!. First suspect is the one identified by the victim. Tell me who was arrested among the mentioned suspect?! Mbona kauli za Kova kwamba hili swala ni la usalama wa nchi what does it mean!!!? Hii mambo bwana serikali haiwezi kunawa mikono. Shame to them!!!!!!!!
.
 
ilianza kwa faridi mukadhani ni mchezoo sasa yanaendele hayo tufurahiye tu lilpotoke kwa faridi tungetafakari hadi ulimboka
 
Mtaji wa kisiasa
 
Vyombo vya usalama sio mpaka vikupe wewe taarifa namna wanavyofanya kazi zao. Kwani kule ZNZ si tunaambiwa kuna FBI wameshakwambia waliokamatwa ni akina nani?

Maelezo ya Ulimboka yalishachukuliwa na polisi na ndio maana suspect akakamatwa.

Sio lazima akamatwe unayemuhisi wewe.

Mimi ninadoubt conclusion za watu kama nyie ambao you directly raise an accusing finger kwa serikali kwamba ndio inayohusika.

Kitu kimoja ninachokikubali ni kwamba tuna tatizo la usalama katika nchi yetu mwanya ambao wahalifu wamekuwa wakiutumia.

Hizi allegations nyingine ni kusiasisha kila kitu kwa ajili ya political gain kitu ambacho hakiwezi kutufikisha popote.
 
I repeat, ni mjinga tu atakayeamini kirahisi kwamba polisi ndio waliotumika and at the same time wajitaje kuwa eti ''afande mshuti huyo''.

Piga makelele mpaka kesho! CCM kama chama cha siasa kina mapungufu yake mengi tu, lakini sio kila ujinga tuukubali eti kwa sababu CCM ni dhaifu. Hapana, kama taifa tuna vyombo vya usalama acha vifanye kazi yake bila ya kuwadistract.

Polisi inaundwa na watu ambao wana utashi na vyama vyote unavyovijua, acha nao watumie utashi wao kuwafichua kama waliohusika watakuwa wa chama tawala!

Haya asante bwana acha tusubiri kuona kinyozi akijinyoa.
 
Vyombo vya usalama sio mpaka vikupe wewe taarifa namna wanavyofanya kazi zao. Kwani kule ZNZ si tunaambiwa kuna FBI wameshakwambia waliokamatwa ni akina nani?

Maelezo ya Ulimboka yalishachukuliwa na polisi na ndio maana suspect akakamatwa.

Sio lazima akamatwe unayemuhisi wewe.

Mimi ninadoubt conclusion za watu kama nyie ambao you directly raise an accusing finger kwa serikali kwamba ndio inayohusika.

Kitu kimoja ninachokikubali ni kwamba tuna tatizo la usalama katika nchi yetu mwanya ambao wahalifu wamekuwa wakiutumia.

Hizi allegations nyingine ni kusiasisha kila kitu kwa ajili ya political gain kitu ambacho hakiwezi kutufikisha popote.

Unaishi kwenye nyumba zile zilizojengwa kwa mabati na kuezekwa kwa mabati?
 
Inasikitisha sana kuona raia wakiuawa ama kuteswa kwa vitu vizito na vyenye ncha kali wakati serikali ikishindana kuunda tume ambazo binafsi sioni umuhimu wake. Nampa pole sana ndugu yetu, Mungu atamponya na majeraha yote ili arudi kuungana na familia yake.
 
watanzania mnaendelea na porojo kama kawa na hili litapita kama yalivyopita ya meremeta,rada, richmond, usafirishaji wa wanyama nje ya nchi kinyemera, kutekwa na kupigwa vibaya sana kwa dr uli, fedha zetu uswiss,gharama kubwa za ujenzi bomba la kusafirishia gesi mtwara to dar, miswada ya akili kupigwa chini..hakuna tunacho weza kukomaa nacho labda mzazi wako siku akitekwa dio utashikwa na hasira...
 
ilianza kwa faridi mukadhani ni mchezoo sasa yanaendele hayo tufurahiye tu lilpotoke kwa faridi tungetafakari hadi ulimboka

kweli mkuu..halafu tujifunze kuchukua hatua siyo porojo tuu
 
Lazima itakuwa mambo ya kisiasa.
 
Tanzania ya sasa unahitaji laki 5 tu kumweka mtu sawa,tena unaulizwa unapendelea mateso gani jamaa apewe,kazi ikimalizika unaletewa na cd kabisa uone yalio tokea.
 
Hypothesis yangu ni kuwa waliofanya tukio hili na lile a Ulimboka ni wahalifu na sio serikali kutokana na hiyo unayoiita Modus Operandi.

Kwa vile jamii ilijengwa kuamini kuwa ni serikali, ndio maana wahalifu wakachomekea vile vile ''Afande mshuti''

Ni mazuzu tu watakaoamini kirahisi kwamba hao ni maafande. Hao huenda walikuwa rafiki zake tangu zamani ila wakabadilika kuwa mahasimu. Acha FBI na CIA wahusishwe.

Waliofanya unyama huo awe ni raia wa kawaida, polisi, mwanajeshi, usalama wa taifa n.k ni mhalifu tu, hata ikiwa ni watu wa usalama wa taifa kwa kuagizwa na ikulu au kwa utashi wao wenyewe ni uhalifu tu, hakuna jinsi ya kuhalalisha unyama huu! Hata serikali yaweza kufanya uhalifu iwapo itatumia vyombo vyake vya dola kufanya unyama, ukatili,dhuluma n.k dhidi ya raia wake! angalia kwenye baadhi ya nchi duniani jinsi viongozi waliokuwa madarakani wanashtakiwa/wanahukumiwa kwa makosa ya uhalifu/ukatili/dhulma/ubadhirifu walipokuwa madarakani! kwa hiyo usijidanganye kuwa serikali haiwezi kufanya uhalifu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom