Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
mhhhhh!!!
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Mkuu, kazi zipo wapi kama wewe una kazi bahati yako! sisi wengine hatuna kazi tutafutieni kazi jamaniJamani twendeni kazini leo sio sikukuu
Sio vizuri kuwaita viongozi wa dini ambayo huiamini wapumbavu hawa.... Ukiangalia sana BAKWATA wanafuata maelezo ya vitabu, wengine wanafuat Jografia na busara za maendeleo ya teknolojia. wote wako sawa kwa imani zao
Labda bakwata mgeni rasmi wao aliwaambia atakuwa na nafasi j5 ndo wanatimiza masharti yake.
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Mkuu, dini hii haiendeshwi kwa website kama wataka hivyo angalia ushuhuda bac kupitia hizo website then uangalie which one can be accepted under the muslim shariah! Je Unakumbuka kuwa iliwahi kutokea shakhe mkuu wa bakwata aliwaomba radhi waislamu kwa kuwa waliwaambia mwezi haujaandama na watu wakala siku ya kwanza ya kuingiya ramadhani hali ya kuwa mwezi ulionekana maeneo kadhaa ya huko tz, so akawaambia wailipe siku hiyo. Na kule zenj pia unakumbuka tukio kama hilo lilitokea. Tatizo la Bakwata sawasawa na magamba, elimu wanazo lakini hawataki kuifanyia kazi elimu hiyo, na M/mungu atawauliza sawasawa wenye elimu kisha wakashindwa kuitumia elimu hiyo. Swali kwako mkuu:- Kwa kuwa Msikiti wa Mtume Madinna leo wameswali idd, je ingelikuwa mtume yu hai, yeye ndiye (possibly) angeliswalisha swala ya idd, Je Bakwata wangelikuwa wanamfuata nani? Jitahidi usome dini yako na elimu utakayopata uitumie ipasavyo mkuu.
Eid moon sighted by Peshawar Ruet body | Newspaper | DAWN.COM
<br />Hivi wewe unajua Uislam kweli au unaleta porojo zako za CCM!<br />
Kwa taarifa yako kesho dunia nzima ni EID kasoro Tanzania tu. Usipotoshe watu hapa JF, hao BAKWATA wako nani kawapa mamlaka ya kuwasemea Waislam wa Tanzania! Ningekujibu zaidi sema hapa sio mahali pake, ebu pitia hii site uone kesho ni siku gani kwa Waislam dunia nzima. www.isna.net
Ndio maana wanafanya njama kuhakikisha waislam wanfarakana katika kila jambo hata katika ibada zao.
Zote ni athari za mfumo kristo ila mwisho wake unakuja karibuni.
<br />Hapa pana utata kabisa kwani leo Makkah leo wamesherekea na kuswali Eid mubarack ata London angalia ata Islamic channel.Je kila bara lina Eid yake?Ndugu waisilam nipeni elimu kuhusu ili.
Hata wenye akili kali si ndo wanaofaulu madaraja ya juu! Magamba tu kampeni yao ya kufarakanisha watu.Tatizo Mkuu hapa utaambiwa una itikadi kali !
Sidhani kama mwezi uliwahi kuondoka kwenye mhimili wake hata usionekane.<br />
Wanasayansi wapo siku zote na mkitaka kuamini waulizeni kama walishawahi kutouona. Na sii kuuona tu hata ukitaka kwenda kutalii huko mwezini watakupeleka.
[RINGO EDMUND[/URL said:[/U];2424893]waulizeni dada zetu kama wameuona tuanze kupiga mambo.