Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
Hapo ndio utajuwa kwanini Waislaam tunataka kadhi na mahakama ya kadhi.
- Kwa hili la kutongaza mwandamo wa mwezi, walichokifanya BAKWATA ni sahihi kwani kama watakaa kwa kufuata taasifa za redio mbao watajivunjia heshima.
MBONA SISI TUMESWALI LEO BAKWATA WAKO WAPI HAPA!!!