Kha..! Nyie BAKWATA kulikoni..?

Kha..! Nyie BAKWATA kulikoni..?

Status
Not open for further replies.
waislam tumeshaistukia kwamba bakwata sio chombo cha kusimamia na kuendeleza uislam bali kiliundwa mahsusi kwa ajili ya kuwagawa waislam na maamuzi yote wanayapata ccm na serikalini, bakwata ni kichefu chefu.

BAKWATA kama BAKWATA hawana matatizo globalization imeingia mpaka kwenye dini,kilichopo sasa hivi kuna kundi linaitwa wavaa suluali fupi(jina la kidini nimelisahau) hawa jamaa bwana wanapeleka mambo tofauti na BAKWATA hivyo kunakuwa na mchanganyiko sana,kikubwa wanachokifanya hawa kuonyesha BAKWATA hawafanyi kazi yao na wao ndio mbadala,kabla yao walikuwa SUNI,HAMADIA,SHIA nk.hakukuwa na vurumai,walivyoanzisha dhehebu lao hawa jamaa ni balaa kwanza walianza na kupora misikiti kwa nguvu na kuweka viongozi wao fuata masharti yao,sikukuu ya IDD wakaanza kula mapema zaidi na kujigamba wako sahihi ilimuradi ikawa vuluvulu tupu.

Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa

mkuu uliona kweli hiki kitu au unafuata mkumbo yaani hii hapa chini angalia
30ss7.jpg
370)this.width=370">

Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!

FF huwa nilikuwa nasikiaga tu kwamba hujawahi kutoa pointi kwenye hii forum nikafikiri ni unyanyapaa lakini leo nimeamini mwenyewe. Kama dada mambo yako yako hivi bora tu hiyo hijabu huivue mwaya uvae sariwali za sweater kama wenzako la sivyo hiyo hijabu ni sawa tu na imetundikwa kwenye hanger.

BAKWATA kama BAKWATA hawana matatizo globalization imeingia mpaka kwenye dini,kilichopo sasa hivi kuna kundi linaitwa wavaa suluali fupi(jina la kidini nimelisahau) hawa jamaa bwana wanapeleka mambo tofauti na BAKWATA hivyo kunakuwa na mchanganyiko sana,kikubwa wanachokifanya hawa kuonyesha BAKWATA hawafanyi kazi yao na wao ndio mbadala,kabla yao walikuwa SUNI,HAMADIA,SHIA nk.hakukuwa na vurumai,walivyoanzisha dhehebu lao hawa jamaa ni balaa kwanza walianza na kupora misikiti kwa nguvu na kuweka viongozi wao fuata masharti yao,sikukuu ya IDD wakaanza kula mapema zaidi na kujigamba wako sahihi ilimuradi ikawa vuluvulu tupu.

Tatizo ni pale BAKWATA walipotishiwa nyau na hawa jamaa wakakubali kuyumbishwa hebu ona sasa. Redio imani jana saa 4;30 usiku walipata taarifa za kuonekana mwezi na wakasema eti waliokuwa wanapokea taarifa za kupokea mwezi walikuwa wameshasitisha hilo zoezi na wakawa kana kwamba wanailaumu BAKWATA kwa kukaa ofisini kusubiri taarifa za kuonekana kwa mwezi bila wao kwenda kuzitafuta. Hili ni tatizo kubwa

Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
Ndio matatizo ya kutotaka kubadilika badala ya kutumia kalenda ya kawaida bado watu wanategemea kuandama kwa mwezi ytafikiri tuko enzi za Vasco Da Gama aliyesafiri kwa kuangalia mwezi na nyota enzi hizoooo

FaizaFox, with due respect huonekani kuishiwa visingizio. Kwenye ile thread nyingine unamlaumu Hayati Mwl Nyerere kwa huu mkorogo wa kutoona mwezi! Hapa unakuja na lawana nyingine kwamba ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa mahakama ya kadhi? Kwa hiyo Hakimu wa mahakama (ya kidini) ndiyo mwenye macho, hawa waislam wengine hawana? Hata kufunga ni hivyo hivyo, kuna kundi moja linaanza kufunga siku moja kabla.

Kama Waislam hawataamka kwenye huu usingizi wa pono na kutumia calendar wataendelea na huu mfumo wa UJIMA wa kuangalia mwezi! Mwaka 2011 watu wanaangalia mwezi na sio calendar? Hivi kwa mfano mtu unataka kupanga holiday yako around Eid, utafanyaje kama huna uhakika Eid ni lini? Kama waislam wanakubali kutumia LOUD SPEAKER tofauti na wakati wa MTUME kwa nini wasi-upgrade utaratibu wa kujua siku ya Eid kwa kutumia elimu ya science Calendar? Kwa nini wanakubali kutumia saa (electronic watch) na sio calendar? Kuna contradiction kubwa hapa. Na pengine Faiza ungesaidia sana wenzako kwa kuelekeza lawama kwenye huu mfumo wa UJIMA badala kutafuta visingizio.
Mkuu umemwambia maneno ya busara sana! lakini kwa Faiza ni kama yanaingilia sikio hili na kutokea sikio lingine

BAKWATA kama BAKWATA hawana matatizo globalization imeingia mpaka kwenye dini,kilichopo sasa hivi kuna kundi linaitwa wavaa suluali fupi(jina la kidini nimelisahau) hawa jamaa bwana wanapeleka mambo tofauti na BAKWATA hivyo kunakuwa na mchanganyiko sana,kikubwa wanachokifanya hawa kuonyesha BAKWATA hawafanyi kazi yao na wao ndio mbadala,kabla yao walikuwa SUNI,HAMADIA,SHIA nk.hakukuwa na vurumai,walivyoanzisha dhehebu lao hawa jamaa ni balaa kwanza walianza na kupora misikiti kwa nguvu na kuweka viongozi wao fuata masharti yao,sikukuu ya IDD wakaanza kula mapema zaidi na kujigamba wako sahihi ilimuradi ikawa vuluvulu tupu.

Matatizo yote haya yatakwisha tukirejeshewa mahakama ya kadhi.

Ndio maana wanafanya njama kuhakikisha waislam wanfarakana katika kila jambo hata katika ibada zao.
Zote ni athari za mfumo kristo ila mwisho wake unakuja karibuni.

Kumbe Wakristo bado ni watemi kwa hawa wafuasi wa Mwamedi pbuh, poleni sana wanyonge wa Allah.

Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa

You sound stup*d! Na inaonekana wewe si muislam, ni mtegaji wa kazi tu anayetamani Holiday! You are letting down this forum bana!

naamini faiza foxy sii mwanamke na sii muislam.atasemaje bakwata wanapata maamuzi kutoka kanisani sii kuwatukana bakwata? mhh makubwa.KANISA linahusikaje na bakwata wajamini? tusubirie kesho asubuhi au sikiza news TBC saa sita usiku huu utakua ukweli.
Nakuhakikishia kama kuna viongozi wajinga basi ni wa Bakwata yaani mtu anatangaza kufunga habari za kupokea mwezi saa nne tu, yaani ni ujinga ulipea mipaka. Shida wana beef kubwa na radio Imani wakati wao hana antenna ya radio hawana. Shwine sanaaaaa hawa viongozi....

Tatizo ni pale BAKWATA walipotishiwa nyau na hawa jamaa wakakubali kuyumbishwa hebu ona sasa. Redio imani jana saa 4;30 usiku walipata taarifa za kuonekana mwezi na wakasema eti waliokuwa wanapokea taarifa za kupokea mwezi walikuwa wameshasitisha hilo zoezi na wakawa kana kwamba wanailaumu BAKWATA kwa kukaa ofisini kusubiri taarifa za kuonekana kwa mwezi bila wao kwenda kuzitafuta. Hili ni tatizo kubwa
Watahukumiwa sana kwa ujinga wao, hebu fikiria mtume enzi zake alipopogana alipigana kwa kutumia panga ukisema leo waislamu tupigane kwa kutumia mapanga jua kabisa utashindwa kabisa. Hebu jiulize ni kweli Bakwata wanashindwa kuingia gharama za kutafuta habari kuandama? Tumekatazwa kuangalia mwezi kwa kutumia vyombo lakini siyo kutafuta habari!

Hapo ndio utajuwa kwanini Waislaam tunataka kadhi na mahakama ya kadhi virudishwe, vilikuwepo vikaondolewa na nyerere kwa udini wake.

nimeamin laana mbaya sana! We lazima ulisomewa surat kahabat nyeget na ndio maana ukawa foxy..

Hapo umenipa mashala na maelezo yako. Wapi ndani ya quran imeeleza kua mwezi unazunguuka masiku 28?
Nina ufaham na hayo mambo ya mwezi lakin kwenye dini ya islam hayo hakuna. Unataka kutuelimisha GMT nayo imeanzia wapi?
Maswala haya hakuna haja ya kuwalalamikia Bakwata. Bakwata wanayo matatizo yao basi isiwe kila kiti ni bakwata. Kwanza tuelimishane wenyewe mambo yetu ya dini. Kitendo cha kutaja ubaya wa mwenzio kabla hujataja ubaya wako si kizuri. Pale bakwata wapo masahykh wazuri hawawezi? Kwani makkah inatawaliwa na ukoo wa aali sood nayo ndivyo mtume alifundisha?
Marhum mufti ibn baaz na mamabo makubwa alioyafanya hakua wakimjali kama sherehe zao za serikali ilhali ni mji mtukufu.
Acheni ushabiki kwanza!

Alhamdulillah! Hatari hii tena msiba kwa muislamu kutojua habari hizi na kutojua namna Quran inavyotafsiriwa-Inshaallah tutajuzana, kuwa mpole, kwanza huna budi kufahamu neno kwa neno ndo utaweza kufahamu sentensi yote. Ntakupa kwa uchache shekhe wangu ili ufanyie kazi. Katika Surat Yaasin aya ya 39 M/mungu anasema "Na mwezi (kadhalika ni alama kwao) Tumeupimia vituo, (hiki baada ya hiki); mpaka unakuwa (mwembamba) kama chaparare la mtende kuukuu(lililonywea)" Je ni vitua gani hivyo vinavyotajwa katika aya hii? Imam as-Suyuuty katika tafsi Durul-Manthuur anasema "Amepoke Al Khalib Katoka kwa Ibn Abbas (RAA) kwamba tafsir ya aya hiyo kuwa Ni "vituo ishirini na nane ambavyo mwezi hutua humo kwa muda wa mwezi mzima, 14 kati ya hivyo vipo magharib na 14 vipo mashariki" kisha baada ya kuvitaja vituo hivyo anasema "Utakapomaliza (kusafiri katika vituo 28 hurudi ukiwa kama karara la mtende, kama ulivyokuwa mwanzo wa mwezi" (Ref: Durul Manthuur: J 5, uk 495) Plz kasome kwa urefu habari. Kadhalika, Imam A Qurtbiy amesema 'vituo vilivyotajwa katika aya hii(36:39) ni 28. Akaendelea kusema 'Mwezi unapofika katika kituo cha mwisho hurudi tena katika kituo cha mwanzo, kwa hivyo humaliza mzunguko mmoja katika siku 28, kisha hufichika, kisha huchomoza tena katika sura ya uchanga (mwandamo) na kurejea katika safari yake kwenye vituo tajwa' (Tafsir Qurtubiy J 8 uk 21) plz kasome uje hapa utujuze. Pia shekhe Azzamakhshriy katika ile tafsir maarufu itwayo Al Kasshaaf ametafsir kuwa 'Maana ya aya hii ni kuwa tumeupangia mwezi mwendo wake vituo ambavyo ni 28. Kila usiku mmoja mwezi hutua katika kituo kimoja kuanzia siku ya muandamo hadi siku ya 28, baadaye hufichikana katika siku mbili au moja (kama ni mpungufu) na unapofika kituo cha mwisho huwa mdogo na hujipinda (Kashaf J 4, uk 18). Plz kasome uje tena hapa ikiwa hujuwi hata namna ya kusoma quran al tafsir. Naomba kukuaga kwa kukuomba ukasome Surat Yaasin kutoka aya ya 5 hadi 12 then utafakari kwa kina. Pia kasome As-Saafat kuanzia aya 28 hadi 37.
Wabilah Tawfiq! Na je umesahau yule shekhe wa Bakwata aliyesema "kutakuwa na vunja jungu ya kiislamu pale mnazi mmoja" amepata wapi hii vunja jungu ya kiislamu? hatari hii

waislam tumeshaistukia kwamba bakwata sio chombo cha kusimamia na kuendeleza uislam bali kiliundwa mahsusi kwa ajili ya kuwagawa waislam na maamuzi yote wanayapata ccm na serikalini, bakwata ni kichefu chefu.

Bakwata wanafata ratiba ya mgeni rasmi aliyepewa mwaliko ambaye ratiba ishapangwa kuhudhuria j5

kenya na uganda eid leo(j4)

duh.. Kiongozi hapangui ratiba, tukio kubwa na la kiimani wanapangua kisingizio eti milango ya mwezi imefungwa

Mkuu yana mwisho siku za bakwata na magwanda zinahesabika!

Hapo ndio utajuwa kwanini Waislaam tunataka kadhi na mahakama ya kadhi virudishwe, vilikuwepo vikaondolewa na nyerere kwa udini wake.

Mtu mzima akiwa na chuki kali kiasi hiki nadhani hata thawabu unakosa nahisi hata kufunga na kuomba inakuwa ni kazi bure, just let it go,

Kikwete a muslim is ruling TZ he has every power to return Kadhi's court, Mwinyi also had that chance, so what's stopping u from blaming them unachuma dhambi kwa kutaja wafu ?

Waache wafu walale kwavile hawawezi kunyanyuka kujitetea, Kikwete raisi wetu kipenzi ana mamlaka kamili ya kurudisha Kadhi ambayo mimi hainipi shida kwani sheria zake hazinihusu so sioni tatizo irudi ama isirudi, Kenya ipo na ina migogoro lukuki lakini no christian is concerned with it there, wanaoipigia kelele Kadhi ni hao hao waislam kama unavyosema BAKWATA inakuwa run na wakristo

Get beyond that hatred...its a beautiful world!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom