Ulivyoanza maelezo yako nilifaham mwisho lazima ujichanganye!

Mwezi una hisabu zake nawe wafunga kwa kufuata hizo siku. Sio lazima wakiswali makkah au indonesia watu wote waswali idi.

Hapo ndipo hujua uelewa wa wachangiaji unapoanzia...

Tazama katika uislam ibada muhim na ngumu kuliko zote ni swalat lakin ibada hii inaswaliwa kutokana na masaa ya eneo husika mbona hamjasema kuna swalat ngapi????

Umuhim ni hizo siku ulivyoanza kufunga na utavyomaliza kufungua.

Wala halina maelezo na hujja nyingi kama wengi wanavyohiaji kulizungumzia. Hapo hakuna utata...ndio maana wasomi wakubwa hawawezi jadili hilo...linabaki kwenu wachache wa ilm hiyo!

Ndio muingie madrasani mjifunze vizuri.

Tena kwenye majamvi ndio penyewe!
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Hapo ndio utajuwa kwanini Waislaam tunataka kadhi na mahakama ya kadhi virudishwe, vilikuwepo vikaondolewa na nyerere kwa udini wake.

<br / ukristo unaingiaje hapa wkat rais muislam makamu wk muislam bakwata waislam vipi uuingize ukristoNdio maana wanafanya njama kuhakikisha waislam wanfarakana katika kila jambo hata katika ibada zao.
Zote ni athari za mfumo kristo ila mwisho wake unakuja karibuni.
Na wewe ni wa wapi? yaani zile copy & paste kutoka kwenye internet wewe unaita makala? makala andika kwa kutumia mawazo yako na sio kucopy na kuja kupaste hapa.Mods huu mchanganyika mara nyingine haufai wengi wano changia humu wanafata mtiririko wa yale waliyo kuwa wakiyazungumza..
Ni ubora ile thread yangu mngeipeleka kwenye jukwaa la dini ii iwe msaada kwa waisilamu wengine walio kwenye mkanganyiko.
kwani hapa ni wachache tu watapata nafasi ya kusoma ile makala.
nawakilisha tafadhali
Na wewe ni wa wapi? yaani zile copy & paste kutoka kwenye internet wewe unaita makala? makala andika kwa kutumia mawazo yako na sio kucopy na kuja kupaste hapa.
Hapo nimekubali hujja yako japo si muislam.
Tatizo wanatumia chuki iliopo Bakwata kuwatusi wengine si sahihi...bakwata hawaongozi ibada...kama taasisi imeamua kutangaza na wengine wanasema wanafuata au wanaungana na waislam wengine ulimwenguni ni sawa kwao. Maana hakuna tatizo maana siku za mwezi hazizidi 31 na leo ni 30 tatizo lipo wapi?
Kwa madai yao wanasema idi zipo ngapi hawa nawaona hata ilm ya dini na mas'ala mazito kama haya hawafaham 100%.
Ibada kubwa na ngumu ni swala mbona tunaswali tafauti kila siku ...hilo nalo mbona hawasemi swalat ziko ngapi duniani? Umuhim ni kusubir muda .
Wasiwababaishe watu wengine!
Ilm za dini ni kujenga hujja kiilm...hakuna vya technology...ndio iwe lazima kufuatwa...kua itatoa mizozo ...si kweli.
Inshaallah idi kesho j5!
mmhh....shekhe usilete maswala ya zamani wakati tupo advanced bana.....zamani hakukuwa na mawasilianao na ndo maana ilikua tabu kupata taarifa za miandamo ya miezi lakini sio sasa......hebu niambie kiukweli kabisa mfano afrika kusini wakiona mwezi wewe hutakula idd? na kwa nini? kuna mtu hapo juu aliuliza swali na mimi narudia kuuliza ...(mwenye enzi mungu atusamehe kwa hili..) kama mtume (s.a.w) angekuwepo na kwa kuwa yeye yupo makka na yeye angetangaza kuonekana kwa mwezi huko makka je ungekula iddi?? mana ndo ingekuwa imetangazwa na kiongozi wa waislam ambaye ndo tunafuata sunna na mafundisho yake hadi leo.......ungesubiri BAKWATA wakuambie ule idd wakati kiongozi wa umma amekwishasema??.......swali la mfano kwako...

Ndio maana wanafanya njama kuhakikisha waislam wanfarakana katika kila jambo hata katika ibada zao.

Zote ni athari za mfumo kristo ila mwisho wake unakuja karibuni.

Hata wenye akili kali si ndo wanaofaulu madaraja ya juu! Magamba tu kampeni yao ya kufarakanisha watu.

Mwenyezi Mungu katika surat Yunus aya ya 5 anabainisha kuwa mwezi hupita katika vituo vyake ili kutokana na hilo watu wajue hisabu za nyakati( idadi ya siku na miezi na miaka). then ifahamike kuwa idadi ya vituo hivyo ni 28, yaani 14 kila upande hivyo baada ya siku ya 29 ni siku ambayo mwezi utakuwa less visible na siku inayofuata utaanza kituo chake kipya. Ndipo mtume akasema funga ni siku 29, la kama hamkuuona (kutokana na sababu mbalimbali, na ukumbuke katika kipindi hicho kupata habari ni suala la barua inayopelekwa kwa masiku kadhaa) tofauti na siku hizi. Pia ifahamike kuwa kuuona (shahida)kulikokusudiwa hapa ni kushuhudia/shahidi bimaana ikiwa tu baadhi ndio waliouona na wameshuhudia hata wale ambao hawakuuona wanalazimika kufuata mwandamo huu. La ikiwa kuuona huku si kwa kushuhudia vipi ya wale ambao wana ulemavu wa macho. Kumbuka kwamba hii hesabu ya kukamilisha 30 inategemea na environment/geographical features and weather conditions. Kwani ni possible kutokana na mazingira ya kijiografia na hali ya hewa inawezekana eneo fulani wanaweza kuuona mwezi na jingine wasiweze kuuona, hivyo ni wajibu kwa waliouuona wawambie wale wasiouona ili nao wafuate. Sasa hili kama nilivyosema mwanzo, kwa miaka ya nyuma ilikuwa ni vigumu kupashana habari ndani ya saa 24 lakini kwa sasa ni suala la seconds. So why Bakwata mnataka kuipotosha dini hii na kuyumbisha watu. Mwisho Kifo cha Bakwata kitakuwa kama kifo cha ccm, watu hawatakubali kila siku kuwayumbisha.

mmhh....shekhe usilete maswala ya zamani wakati tupo advanced bana.....zamani hakukuwa na mawasilianao na ndo maana ilikua tabu kupata taarifa za miandamo ya miezi lakini sio sasa......hebu niambie kiukweli kabisa mfano afrika kusini wakiona mwezi wewe hutakula idd? na kwa nini? kuna mtu hapo juu aliuliza swali na mimi narudia kuuliza ...(mwenye enzi mungu atusamehe kwa hili..) kama mtume (s.a.w) angekuwepo na kwa kuwa yeye yupo makka na yeye angetangaza kuonekana kwa mwezi huko makka je ungekula iddi?? mana ndo ingekuwa imetangazwa na kiongozi wa waislam ambaye ndo tunafuata sunna na mafundisho yake hadi leo.......ungesubiri BAKWATA wakuambie ule idd wakati kiongozi wa umma amekwishasema??.......swali la mfano kwako...
ukifuatilia wengi wanaolalamika si wala waislamu. Na kama waisilamu hawakuwa wala katika mfungo. Tuheshimu mamlaka zilizo madarakani. Sheikh Mkuu asije akatangaza mwezi kwa staili ya report ya DJ mara kasimamishwa mara karudi mara kasimamishwa tena.Wakuu officialy according to BAKWATA kesho Waislamu nchini wanakamilisha siku 30 za mwezi mtukufu na eid itakuwa jtano. Hekima ya mwezi mtukufu ni kuwa watu wafunge kwa pamoja na wafungue pamoja katika eneo husika na kuna chombo maalum cha kutangaza mwezi sio kila mtu tu wengine waweza danganya watu ili wafuate matakwa yao.
KWA WAISLAMU:ni muhimu kuheshimu mamlaka inayowaongoza ukizingatia wengi wao hawana ufahamu mkubwa kuhusu masuala ya dini hiyo.