Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Ataua wengi asee. Aagize risasi za kutosha.
Alaf zile kasha za risasi kuna waliokota wakapost video ni made in ZIM (a.k.a Zimbabwe)
Kama ni made in Zimbabwe utakuwa basi zililetwa na yule bonge Zimbabwe ambaye alionekana ikulu amekaa kwa kujiachia kabisa
 
Chunguza zile magazine au jaribu kufwatilia clips zenye watu wanaonesha magazine...
 
Sijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko.

Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama mbichi. Na bado.
Eee Mungu baba tusaidie sisi wananchi maskini tusiokuwa na silaha za kujihami. Naomba utupe ujasiri wa kupambana na hawa mbwa kwa mapanga, marungu na mishale tulipe kisasi cha maelfu wa ndugu zetu waliouawa na hawa mbwa.
 
Kama ni made in Zimbabwe utakuwa basi zililetwa na yule bonge Zimbabwe ambaye alionekana ikulu amekaa kwa kujiachia kabisa
Inawezekana kabisa sio kwa mkao ule wa kujiachia kama vile yupo na mkewe chumbani. Hii nchi ina mambo ya kis3ng3 sana.
 
Eee Mungu baba tusaidie sisi wananchi maskini tusiokuwa na silaha za kujihami. Naomba utupe ujasiri wa kupambana na hawa mbwa kwa mapanga, marungu na mishale tulipe kisasi cha maelfu wa ndugu zetu waliouawa na hawa mbwa.
Mungu aiponye mioyo yetu ila msirudi barabarani. Mungu ataamua haki bila kutumia nguvu.
2 Nyakati 20
 
Sijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko.

Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama mbichi. Na bado.
Wakinukishe tu. Tumechoka.
 
Pumbafu zenu msituharibie biashara zetu tu.
tu
 
Kuchoma vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, kuiba na kuharibu mali za watu ni hatia tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…