Uzi wa kupigana Fix

Uzi wa kupigana Fix

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,492
Reaction score
31,837
Hawa wachina sasa wameiacha dunia mbali sana. Mambo wanayotafanya Marekani wanaogopa sana. Ukiacha lile jengo lao refu sana ambalo limejengwa hewani halafu linaelea. Wana train ambayo hakuna kitu kinaifikia kwa speed duniani.

Hawa waChina wametengeneza train lina speed kali kiasi kwamba kama usiku likiwa linakimbia halafu wakawasha taa. Kunakuwa bado giza mbele sababu kwa speed yake linauacha mwanga nyuma. ile speed yake likikupita baada ya masaa 5 ndo unasikia sauti yake kuwa limepita.

Ile train ina speed kiasi kwamba unaweza ukapanda dereva akaendesha ukaenda ukaiona kesho yako halafu ukarudi kuendelea na leo. Au akarudi reverse mpaka akatokea jana. ukafanya jambo ambalo hukulifanya jana.
 
Mwaka flani nlipata demu akawa ananilia pesa za ngu gheto hataki kuja. Kuna siku nikamwambia anisindikize kwa bro kuna pesa za urithi tumegaiwa. Alifurahi sana. Akanisindikiza. Tuliporudi mi nina bag mgongoni.... Tukaweka vitu kwanza ili miili yetu isabahiane.

Siku hiyo nlimsugua mpaka akaanza kusema Chidy nasikia kama kuna nyama inaungua humu ndani. Nasikia sauti ya nyama ya kuchoma. Kweli chumba kizima kilijaa harufu ya mishkaki.

Kumbe ndo mambo ya ulimbo na ulimbombo. Kiukweli yule dada alirudisha pesa zote alizokuwa akila siku ile. Hakuweza hata tembea..... Kulikuwa vururu vururu kule chini na kunatoa harufu ya nyama choma.
 
IMG-20260802-WA0069.jpg
 
Saiv mkuu ukitaka mke wachina wanakundia chapu

Tena kwa sifa unazotaka wewe.... Hatari sana hawa jamaa. Kuna jamaa yangu alienda china akarudi wamemuundia demu mkali sana na hajui kuomba pesa kabisa. Jamaa akaoa mpaka kesho wanaishi vizuri.
 
Serikali ya nchini kenya kufikia 2027 itaanza utaratibu wa kutoa ruzuku/posho kwa vijana wote walosoma vyuo vya serikali na bado hawajapata ajira rasmo

Ila miongoni mwa vigezo vitakavyotumika mi wale wote ambao wana zaidi ya miaka 30

Wale ambao walisoma vyuo vya serikali na bado hawajapata ajira rasmi

Kima cha posho kwa mwezi kinatarajiwa kuwa Kshs 25 000/=
 
Hii kali, uzi wa kupigana fiksi, kuna mwinine ataanzisha uzi wa malividavi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom