Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Ukiwa nankihere here kama wewe unapotea Tu. Nipo kariakoo hapa maisha yanenda kama kawaida na ninaishauri serikali. Kuwapoteza watu laki 1 si tatizo Kwa ustawi wa nchi yetu...nipo Mil 64
Haina noma Kwa vile wewe ni mke wao, basi utakuwa safe dhidi yao.

Ila sisi waandamanaji lazima tukule bakuli.
 
September mwaka huu vibaka waliniibia mchana saa nane, jirani mjeda nae walipita nae, hayo maeneo sio kabisa, na hata polisi ukiwaita eneo hilo hawatoi ushirikiano wanajizungusha sana
Pole sana mkuu, juzi ile siku ya uchaguzi waliingia road wakapita na mercedez benz it wakaja kulitelekeza mtaani huku, polisi wakaja zikatokea vurugu wakaua kijana mmoja ila walikimbia na silaha zao
 
Nime cheka kishenzi, yaani wewe ndio una dai ila wana kugeuzia kibao šŸ˜‚
Yule mpelelezi nilikuwa namjua. Sass mkuu wa kituo alipoona Mambo yanaenda kuwa wazi akabadili mpelelezi gafla. Namfwata Yule naemjua anasema siwez kupingana na boss wangu akanishauri nikaushe tu. Inaone kana kuna watu wakubwa wanaishi kwa ule uhalifu wao ndo wanawatuma vijana

Nililia Sana ila nikawakimbia asee sikujali pesa
 
Yule mpelelezi nilikuwa namjua. Sass mkuu wa kituo alipoona Mambo yanaenda kuwa wazi akabadili mpelelezi gafla. Namfwata Yule naemjua anasema siwez kupingana na boss wangu akanishauri nikaushe tu. Inaone kana kuna watu wakubwa wanaishi kwa ule uhalifu wao ndo wanawatuma vijana

Nililia Sana ila nikawakimbia asee sikujali pesa
Duh pole sana, natumai sasa hivi ume pata mahali penye afadhali.
 
Kuchoma vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, kuiba na kuharibu mali za watu ni hatia tosha
Kum@ LA mamako , kuna jinai kama ya kuua unarmed civilian 3000+ kwa mauaji ya halaiki ?, kufanya ufisadi wa matrilioni serikalini kujinufaisha ,kuingiza hasara ya mabilioni kwa kuzima internet siku tano , kuteka ,kubaka ,kutesa na kuua watu ovyo , kunyima haki watu haki ya kuzika watu wao kwa kuchoma moto maiti na kuzizika kisirisiri Kama mizoga kuficha ushahidi ? , kuchapisha pesa makontena kinyemela na kusababisha inflation , kuharibu uchaguzi uliocost zaidi ya trilioni moja kodi za wananchi na kudharau haki za raia zilizopo kwenye katiba .
Mbwa wewe
 
Kuchoma vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, kuiba na kuharibu mali za watu ni hatia tosha
Kum@ LA mamako , kuna jinai kama ya kuua unarmed civilian 3000+ , kufanya ufisadi wa matrilioni serikalini kujinufaisha ,kuingiza hasara ya mabilioni kwa kuzima internet siku tano , kuteka ,kubaka ,kutesa na kuua watu ovyo , kunyima haki watu haki ya kuzika watu wao kwa kuchoma moto maiti na kuzizika kisirisiri Kama mizoga kuficha ushahidi ? , kuchapisha pesa makontena kinyemela na kusababisha inflation , kuharibu uchaguzi uliocost zaidi ya trilioni moja kodi za wananchi na kudharau haki za raia zilizopo kwenye katiba .
Mbwa
 
Jana mange amesema captain tesha yuko nje ya nchi uraiani. Akasema akiongea Sana ataharibu. Unahisi atakuwa anawaza nini?
Nimemkumbuka LeMutuz, battle lao na Mange lililuwa linafurahisha.
 
Back
Top Bottom