cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,679
- 4,271
Yani Hadi aibu.We ni mlamba asali,, kwahiyo waliouawa kwenye maandamano ni vibaka sio?
Watu tumeibiwa vitu vya maana Ila hatujawahi sapoti kuuwawa kwa Vibaka sembuse hawa.
Hakuna kosa linahalalisha kumwaga damu ya mtu