Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Naona mnachonga ngenga tu

Kwani kuna nini kinaendelea huko

Mjini Daslamu.
 
Punguza kuwashwa washwa, nchi gani iliyo tulia akati watu na miili haonekani?.

vijana wana potezwa ka upepo, still you got guts za kusema hali ni shwari🤔
Ukiwa nankihere here kama wewe unapotea Tu. Nipo kariakoo hapa maisha yanenda kama kawaida na ninaishauri serikali. Kuwapoteza watu laki 1 si tatizo Kwa ustawi wa nchi yetu...nipo Mil 64
 
Kiukweli bora Kuwa na kikundi watu wawe na silaha pia
 
Jana mange amesema captain tesha yuko nje ya nchi uraiani. Akasema akiongea Sana ataharibu. Unahisi atakuwa anawaza nini?
1762674281090.jpg

Unasalimiwa na Mzanzibar mwenzako.
 
Back
Top Bottom