cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,679
- 4,270
Tatizo kimara hapaaminikii kabisaKulikuwa na helicopter inapiga doria mitaa ya kimara na mbezi, nikasema kumekuchaa
Tatizo kimara hapaaminikii kabisaKulikuwa na helicopter inapiga doria mitaa ya kimara na mbezi, nikasema kumekuchaa
Huyu anaongea kwa code Ila analeta habari sahihi 100%.Jambo gani? Hata kwa codes umeshindwa.
Haya ngoja tungoje lisipokuwepo tutarudi hapa pia
Huyu anaongea kwa code Ila analeta habari sahihi 100%.
Kesho wataandamana ndugu wa waliouwawa tarehe 29/10 Hadi 3/11.
😔😔😒😒Sijui kwanini Serikali hawalioni hili.
Ni kweli watu wameuwawa, Lkn where are bodies?
Yaani nizae mtoto, afike miaka 25, Apigwe risasi for just having an opinion, na nisipate nafasi ya kuzika mwili wake?
Unazani haya maumivu mtayanyamazisha kwa kupiga mabomu, risasi au nn?
Kuna wachaga wengi huko wana misimamo hao watuTatizo kimara hapaaminikii kabisa
Mkuu umeandika kwa hisia sana. Pole!Sijui kwanini Serikali hawalioni hili.
Ni kweli watu wameuwawa, Lkn where are bodies?
Yaani nizae mtoto, afike miaka 25, Apigwe risasi for just having an opinion, na nisipate nafasi ya kuzika mwili wake?
Unazani haya maumivu mtayanyamazisha kwa kupiga mabomu, risasi au nn?
Ataua wengi asee. Aagize risasi za kutosha.Kuna wachaga wengi huko wana misimamo hao watu
Si ndio yule bonge aliyekuwa magogoni kipindi kile, akawa anakunja nne mbele ya bibi Kizimkazi anaitwa Chivayo, anahusika na kuuza silaha kwa viongozi Afrika wasiokubalika na kuwapa mbinu za kubaki kwa hila style hii ya kuteka, kutesa na kuua wanamhusisha nayo sana, ndio inatumika Zimbambwe.Ataua wengi asee. Aagize risasi za kutosha.
Alaf zile kasha za risasi kuna waliokota wakapost video ni made in ZIM (a.k.a Zimbabwe)
Sijui kwanini Serikali hawalioni hili.
Ni kweli watu wameuwawa, Lkn where are bodies?
Yaani nizae mtoto, afike miaka 25, Apigwe risasi for just having an opinion, na nisipate nafasi ya kuzika mwili wake?
Unazani haya maumivu mtayanyamazisha kwa kupiga mabomu, risasi au nn?
Vita haina macho kwani lazima afe yeye anaweza kufa hata adui yake kikubwa aende akiwa amejiandaa kwa vita.. sio mawe na panga awe na zana.kwahiyo nawewe unataka kufa kama huyo mwanao?
Kuna wachaga wengi huko wana misimamo hao watu
Kimara + mbezi hasa temboni kule ni hatari....ile milima na mabonde polisi wakijichanganya kwenda kule watajutaTatizo kimara hapaaminikii kabisa
Nilishawahi kuishi temboni ni pakubwa na kuna nyomi la kutosha kule ni mixer wa kishua wastani changanyikeni wastani wakienda huko wameisha, kwanza wanapaogopaKimara + mbezi hasa temboni kule ni hatari....ile milima na mabonde polisi wakijichanganya kwenda kule watajuta
Story ya Ethiopia kutotawaliwa na mkoloni itajirudiaKimara + mbezi hasa temboni kule ni hatari....ile milima na mabonde polisi wakijichanganya kwenda kule watajuta
Na kweli rafiki yangu anaishi temboni ndani ndani anasema hakusikia bomu wala risasiNilishawahi kuishi temboni ni pakubwa na kuna nyomi la kutosha kule ni mixer wa kishua wastani changanyikeni wastani wakienda huko wameisha, kwanza wanapaogopa