cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,679
- 4,270
Ila kwa maumivu makali🤣🤣🤣🤣🤣, Daaah hasara roho
Rekebishen eneo lenu jaman sio poa
Ila kwa maumivu makali🤣🤣🤣🤣🤣, Daaah hasara roho
Muonee huruma mwenzako usimfanyie hivyo 😅😅😅Naomba muondoke kwenye pm yangu pls
ilo suala ni gumu kwa kweli, maana wenyeji tuna-enjoy haya maisha 😅😆Ila kwa maumivu makali
Rekebishen eneo lenu jaman sio poa
Wenzako kabla ya Oct 29 walikuwa na shobo kama zako. Hivi sasa wako. Kimya. The way unavyoanfika itakuwa si mtanzania au utakuwa mental retard.You deserve em buda, halafu mabiti pelekea mbuzi labda ndio wata kuogopa.
Halafu Kama iq ingekuwa deal, sidhani kama ungekuwa chawa wa mwanaume mwenzio mf.
Achana na December 9, ka vipi hata kesho tukichafue.
Jamaniii, huyu Mzee nini ambacho hamiliki ktk nchi hii?Gen z msisahau halotel inamilikiwa na kiwete mzee chekelea, muangalie namna ya kumtia hasara hapo km ni kutumia ipitishwe kampeni wateja wamuhame
Public inatakiwa kupoka vitu hivyo ili virudishwe serikalini.Jamaniii, huyu Mzee nini ambacho hamiliki ktk nchi hii?
Kila kitu ni chake, nimeanza kuichukia halotel.
Aaaah
Kwa kweli.Public inatakiwa kupoka vitu hivyo ili virudishwe serikalini.
Walanguzi na wanyang'anyi wote wafilisiwe
Zombi halishibi damu.
😁😁😁Jamaniii, huyu Mzee nini ambacho hamiliki ktk nchi hii?
Kila kitu ni chake, nimeanza kuichukia halotel.
Aaaah
Nilisema nitarejea leo jioni kukumbusha, hakuna kilichotokea. Wewe ni Muongo wa na badoSijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko.
Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama mbichi. Na bado.
Nilisema nitarejea leo jioni kukumbusha, hakuna kilichotokea. Wewe ni Muongo wa na bado
Fita ni Fita Muraa ,kama mbwai iwe mbwai ,afile munu asigale munu ,show show ,kazi kazi! Gen Z walitoka mikono mitupu wamekula vyuma ,wasiokuwepo nao wamekula vyuma ,sasa solution ni kuingia kwenye battle field nao.Hii mkuu itakuwa ni maandamano au vita?
Yaani unakula chuma na kuandamana hukuandamana aseeeFita ni Fita Muraa ,kama mbwai iwe mbwai ,afile munu asigale munu ,show show ,kazi kazi! Gen Z walitoka mikono mitupu wamekula vyuma ,wasiokuwepo nao wamekula vyuma ,sasa solution ni kuingia kwenye battle field nao.
Walichanganyikiwa maana walijua Gen Z ni kama sie Generation X and Millennials mandezi.Yaani unakula chuma na kuandamana hukuandamana aseee
Huna unalolijua taikuniMaeneo mengi ya kuanzia kimara mpaka temboni hayako flat na yanamapori mengi sio rahisi kuingia ndanindani.
Kimara mpaka mbezi hakuna vifo vingi vya mtaani kutokana na jiografia yake.
Mkuu, nina shida ya vijana wawili watatu miongoni mwa hayo makundi, nina kashamba kangu nahitaji wanisaidie kupalilia.Golan bado kuna watu wepesi.... Kuna Kona mbaya huko Matete ni hatari sana... Golan haifiki hata kwa Docha
Huyo October 2pm huwa muongo muongo na mzushiNilisema nitarejea leo jioni kukumbusha, hakuna kilichotokea. Wewe ni Muongo wa na bado