KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Masanja! shukrani mm pia hukata kwa website ya ndege husika kwa kwenda kulipa kwenye ofisi zao mjini. sijawahi kukata huko kayak,expedia (maana nilikuwa naona kama matapeli tu wa mtandaoni). Itabidi nitafute ile kadi ya Banc ABC niwe naweza kununua/kulipia kwa kadi.
**Tanzania ya Viwanda YAJA.
 
Ethiopian ni kwa ajili ya waafrika na wachina wanaochungulia pesa zao mfukoni
 
Tayari Twiga kapata boss. sasa kazi ianzeeeee ni twiga mwanzo-mwisho DAR-GWANZUUUU!
 
Haya sasa wale wanaotaka kwenda kwa "WAVAA NDALA" muda ndo huu, kata tikiti mapema. Chombo kipo gado nauli nafuu.
 
Vya rahisi uhumiza kaka,we panda Qatar utue Doha pale,uone kama utakumbana na uo upuuzi
 
Wavaa ndala wamejipanga kwenye sekta ya Ndege inabid kujifunza toka kwao tofauti na Wahabeshi wachafuu.
 
Hongera middle and far east kwa kuboresha huduma za ndege duniani
 
Duuhh!! Afadhali uwanja wa Qatar ila daah kwenye upande wavyoo kama uko transfer nishidaa wapikistani na wahindi wanatematema wate ovyo kwenye sinki hadikinyaa
Doha ni balaa bonge la airport ila naona hilo ulilosema linatokana na ubize wa airport yenyewe yaani wana ndege nyingi utafikiri mabasi ya pale Ubungo walichonifurahisha karibu zote ni zao oohh nikaanza kuiwazia mama Tanzania na ki terminal chetu
 
Mkuu acha hizo bana, wanyarwanda wasafi sana, hebu nipe utofauti wa usafi wa wanyarwanda na watz? Acha kudhalilisha nchi za watu.. Kwa usafi gani haswa unataka kusema watanzania wamezidi wanyarwanda?? Anzia kulinganisha dar na kigali kwanza.!
Na hapa tunaongelea Bole airport, Ethiopia sio Rwanda eboo.!
Soma vizuri jamaa alimaanisha person hygiene sio environment
 
ATC hii ya marubani wetu hawa wazee? tuombe mola atupatie hikma na busara katika kuendesha shirika hili pendwa.
** Tubadilishe jina....KILIMANJARO AIRLINES
Vp nikiboresha iwe Fly Kilimanjaro
 
Aaaahaaaa niliacha kupanda Ethiopian airline mwaka2009 Iyo siku nilikutana Na kinyesi live chooni makoozi kwenye sink nikasema shida yote ya Nini khaa nikasema sipandi tena hili kopo kweli cheap is expensive aaaahaaaaaaa nimekimbilia Qatar
Naipenda Qatar hasa unapokuwa mnakaribia ku land Doha halafu usiku waooh jiji lao linavutia sana kwa zile taa
 
Huwa nawaonea huruma sana wadada warembo wa Kihabeshi pale Rafik Harir airport Beirut yaani unawakuta wamekalishwa sakafuni wanasubir warudishwe kwao kwa kukosa kazi za u house girl nyie maajent wa ajira Mungu anawaona
 
Mwaka Jana nimepanda hiyo kwenda Addis Ababa nikapitiwa usingizi katikati ya safari. Niliposhtuka humo ndani ni kelele tupu utafikiri tunaenda mkoa. Kumbe kama robo tatu ya abiria walikuwa wafanyabiashara wa kariakoo wanaenda China.!
Hahahaha
 
Hivi inachukua muda gani kusubiri kuboard au kutoka airport mpaka Wi-Fi iwe important that way labda kama kunadelay ya mwezi.
Cancellation mtu yupo busy to find out alternative way.
Ndugu unaweza kuwa unafanya connection na ndege unayosubiri inatoka destination nyingine hvyo unasubiri 3hrs airport unafikir bila WiFi hapo maisha yanakuwaje? Utazunguka madukani hadi uchoke
 
Mkuu vyoo vya kulipia ni visafi hapa stendi ya Dodoma Na free WiFi tembea Hatua kumi
Mpaka Jamatini hapo utapata WiFi.
Hili nalo neno umenikumbusha hv stand ya Dodoma nyie wenye dhamana mmeridhika kabisa? Hebu msitufanyie mambo ya kijinga Dodoma inatakiwa iwe na stand classic ikiwezekana iwe kama terminal ya ndege. Sijui kama kile kipindi cha tbc cha safari ya Dodoma wameeleza stand mpya itakuwa wapi? Mwenye kujua tafadhar
 
Back
Top Bottom