and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
- Thread starter
- #141
JNIA WI-FI ipo vyedi. HONGERENI
Unanikumbusha Trevoh noah "ATTENTION ALL PASSENGERS"na unaweza onja cancellation kumbe wenzio wana board mlango mwingine,unashtushwa na matangazo ya jina lako ndege inaondoka.
Hii inaitwa jicho la tatuTatizo la ndege za Ethiopian wengi wanalolizungumzia hapa lipo kwenye aina ya abiria wanaopanda ndege zao. Japo sijasafiri nao mara nyingi lakini nimegundua ndege zenye matatizo zaidi ni zile zinazosafiri within African continent na zile zinazoruka kutoka Addis Ababa kwenda kwenye miji ya kibiashara China. Na wanaosababisha haya matatizo ni aina ya abiria wanaopanda hizi ndege. Wengi wao ni watu local na wasio na elimu, wanaofanya uchuuzi wa bidhaa kati ya Afrika na China. Wengi ni type ya wafanyabiashara wa Kariakoo ie. wengi hawana elimu ya kutosha, hawana exposure kubwa ya ustaarabu, waliopata fedha kwa uchuuzi wa bidhaa na wanafikiri wanajua na wamemaliza kila kitu kumbe sio.
Nilijuta.... Kuna kero kuanzia foleni za ku check in hasa China, Bangkok.mapopo na wakongomani huwa na mifurushi kama ya mitumba ya soko la kibororoni. Kero mbayaa zaidi ni pale airport kuna Choo kimoja mna share zaidi ya watu 500 kibaya zaidi ukishuka muda wa karibu na swalah ya mchana watu wanakanyaga kwenye masinki ya na Kuosha miguu yao. Basi floor hujaa maji na mikojo kama siku ya mechi ya stendi United na simba kwenye vyoo vya uwanja wa Kambarage.Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
Hahaah mkuu ni jirani ila niliunga safari tena hiyo ya mwanzo ilikuwa kwa roli...!Katavi- sasa safari ya DAR-ADDIS unasinzia siku unaenda SYDNEY si ndio utasahaulika kabisa ndugu!
Wanamumunya sana ule ugoro wao ndo maanaDuuhh!! Afadhali uwanja wa Qatar ila daah kwenye upande wavyoo kama uko transfer nishidaa wapikistani na wahindi wanatematema wate ovyo kwenye sinki hadikinyaa

Badilisha ndege mkuu pale sio pa kupita kabisa labda tu uwe na dharulaWale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
Hapana, wanazo pia bia na wineethiopian ni watu wa ajabu kuanzia kwenye ndege kwenyewe, yaani vile vidada vichoyo balaa vinakupa chakula kiduchuu, hakuna kinywaji cha maana zaidi ya maji, maza fanta na cocacola abiria wa safari ndefu ukifika basi pale uwanjani kwao DUTY FREE shops zao wametandaza ile mitandio tu ya ki-ethiopia tu, sisi tunataka pombe tupotezee muda safarini mnatuuzia mitandio, ya nn sisi?
NB: WIFI mpaka kununua 10 USD dakika 30 tu. ***** wallahi!!
Addis in DarKwani Tanzania wana migahawa?
Tatizo la ndege za Ethiopian wengi wanalolizungumzia hapa lipo kwenye aina ya abiria wanaopanda ndege zao. Japo sijasafiri nao mara nyingi lakini nimegundua ndege zenye matatizo zaidi ni zile zinazosafiri within African continent na zile zinazoruka kutoka Addis Ababa kwenda kwenye miji ya kibiashara China. Na wanaosababisha haya matatizo ni aina ya abiria wanaopanda hizi ndege. Wengi wao ni watu local na wasio na elimu, wanaofanya uchuuzi wa bidhaa kati ya Afrika na China. Wengi ni type ya wafanyabiashara wa Kariakoo ie. wengi hawana elimu ya kutosha, hawana exposure kubwa ya ustaarabu, waliopata fedha kwa uchuuzi wa bidhaa na wanafikiri wanajua na wamemaliza kila kitu kumbe sio.Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
hiyo ndege ETHIOPIAN (ambapo bila kutaka utatumia uwanja tajwa) ni kwa ajili ya waafrika & wachina wabahili-bahili wenye akili wanajipambanua na EMIRATES, QATAR, SWISS na KLM
Tunaotumia stendi ya mabasi ya Dodoma kusema ukweli hali si nzuri kidogo naomba serikali iangalie hapo vilevile vyoo ni vichafu na hamna free WiFi abiria tunapata shida kwelikweli
Kiasili waethiopia ni wachafu.
Mkuu tumefanya nini lknWahabeshi wamekaa kimshazari sana