KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Kwa bei Turkish wana afadhali kwa destinations za Ulaya na America. Kwa afrika bora Rwandair, South African, Egypt Air...Asia yote ni ama Oman Air, Fly Dubai au Qatar.
 
Nakubaliana na wewe. Ni airport ya hovyo kwakwel, chafu hasa vyooni na vimetengenezwa kienyeji yaan kama sijui vya baa gani. Naelewa ni airline inayopendwa sbb ya kuwa cheap lkn huduma kwakwel ni mbovu sana hapo uwanjani kwao
 
Hawa jamaa ni hovyo kabisa..!
Wahudumu huduma hovyo, vyoo vichafu, hakuna spika, kama zipo hazitoshelezi,folen kubwa kwenye kuchek in.,
Sijawahi ona airport hovyo kama hiyo....!! Na iko busy
 
...Ethiopia Airline imesemwa,uchafu wamesemwa waethiopia lkn kipimo cha uchafu ni nn...??kati ya Dar na Addis-Ababa ipi inakumbwa na kipindupindu cha mara kwa mara?tuongelee kuboresha Dar na kutokomeza kipindupindu chetu....tusikalie kale ka sifa ketu blahblah nyiiingi....kuponda vya watu waliothubutu na kuweza.
 
Jamani mnaiponda lakini si unafika unapokwenda? Kama una pesa si upande ya hadhi yako bana
 
Duhh..aise I believe hao jamaa wa ET wanapita humu. Kuna la kujifunza.

I always use Emirates, lakini in two weeks time nataka nitumie ET kwa sababu ya connection. Kufika Dar nasave almost masaa kumi na mbili! I will see whether the sacrifice will be worth it. By the way kwa ticket mfano Dubai-Dar.....both Emirates and ET...tofauti ni ndogo sana (kwa ticket niliyonunua haikuzidi $30)..

Nikishapanda hii ndege nitaleta mrejesho hapa!
 
Fanya hivyo mkuu...
 
Masanja! tofauti ya Ethiopian na Emirates ni 30 USD? unakatia wapi mkuu? mi kuna wakati inabid nikapandie NAIROBI kwa ajili ya ku-save!! na ukweli tofauti ya kupandia DAR na NAIROBI kwa Ethiopian naiona maana na-save kati ya 250 mpaka 300 USD. Naona NBO-JHB na NBO-DXB pia NBO-DELHI/MUMBAI nako ni cheap sana kwa Ethiopian japo siti (economy) zao zimejibana kama NGORIKA kwa safari za muda mrefu toka ADD ni tabu sana hata ukisema ulale ni shida tu.
 
Mkuu mimi daima nanunua ticket zangu online (mara nyingi nanunua expedia, Kayak au kwenye website ya airline husika). Ukienda kwa hawa madalali wanaoitwa agents..lazima wale cha juu..na ni pesa ndefu kabisa (understandable because they have to sustain their business too). (DBX-DAR kwa ET nilipata ticket kwa USD 470 return and Emirates ilikuwa USD 498 return).
 
Walinichekesha lasts august..boarding pass inaonesha geti no tofauti na waongozaji wanawaeleza abiria geti tofauti..wanaboa sana sana...toilets chafu..
 
Back
Top Bottom