Aisee india nimewakubali zaidi na Airport zao pia na Malls zao za ukweli, Nilifika pale DELHI Airport FULL A/C mpaka chooni/ hakuna kelele wala nini na pametulia hakunaga vurugu kama BOLE sema inabidi uwahi uwanjani mapema maana, wadosi wanasafiri sana so foleni kubwa immigration.usipokuwa makini ndege inaondoka ukiwa kwenye foleni za immigration maana hakunaga maspika mule (ni kimya kimya) Ila dada zetu waafrika (Watanzania pia wamo wanauza nyappu mnoo Huko India mpaka aibu).
** Hiyo ndege ya ADD-DELHI ni tule tudogo tudogo sit kama school bus yaani sisi warefu kukaa masaa 6 kwenye zile siti ni mateso ajabu.
** Hiyo ndege ya ADD-DELHI ni tule tudogo tudogo sit kama school bus yaani sisi warefu kukaa masaa 6 kwenye zile siti ni mateso ajabu.