and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
- Thread starter
- #121
SHERIFF unasema OR Tambo ni ya kawaida ukilinganisha ni airport ipi Afrika? au pale Mwanza Int'l Airport?
horrible experienceWale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
SHERIFF unasema OR Tambo ni ya kawaida ukilinganisha ni airport ipi Afrika? au pale Mwanza Int'l Airport?
Hadi huko umeonja!!?pia hata wale dada zao wanaofanya biashara kongwe wengi si watamu halafu bei ghali sana...100USD/shindo?
Kwani weupe ndio prevention ya HIV?Addis Ababa Beibii! mimi nilichelewa connection wakanipeleka hotelini DREAMLINER daah wadada kibao wanakukonyeza kama unataka KIPOCHI MANYOYA. Wana njaa hatareee japo weupe lakin ukwimi umeshamiri
Kwahiyo mnashauriana kubadili flight bila kujali destination wala affordability sababu tu kuna free Wi-Fi airport???mkuu tumia qatar airways ukifika hamad intl airport- doha wifi ni bure na pia kuna internet kiosk za kumwaga pia ni free kabisa
Aisee kumbe na wewe umegundua hili swala me naona hawa wote ni wale wa cheap flights bargaining specialists sasa wanapewa what's within their limited grounds wanakuja kujilinganisha na business class huku hata complain zao huku utawajua tu ni tabularasa.Tatizo la ndege za Ethiopian wengi wanalolizungumzia hapa lipo kwenye aina ya abiria wanaopanda ndege zao. Japo sijasafiri nao mara nyingi lakini nimegundua ndege zenye matatizo zaidi ni zile zinazosafiri within African continent na zile zinazoruka kutoka Addis Ababa kwenda kwenye miji ya kibiashara China. Na wanaosababisha haya matatizo ni aina ya abiria wanaopanda hizi ndege. Wengi wao ni watu local na wasio na elimu, wanaofanya uchuuzi wa bidhaa kati ya Afrika na China. Wengi ni type ya wafanyabiashara wa Kariakoo ie. wengi hawana elimu ya kutosha, hawana exposure kubwa ya ustaarabu, waliopata fedha kwa uchuuzi wa bidhaa na wanafikiri wanajua na wamemaliza kila kitu kumbe sio.
Kuongea kwenye ndege mbona ni jambo la kawaida hata flights za mbele.Mwaka Jana nimepanda hiyo kwenda Addis Ababa nikapitiwa usingizi katikati ya safari. Niliposhtuka humo ndani ni kelele tupu utafikiri tunaenda mkoa. Kumbe kama robo tatu ya abiria walikuwa wafanyabiashara wa kariakoo wanaenda China.!
yeye ndie atajiongeza kuona kama QA ipo kwenye route anayoenda acha kujifanya mjuaji, sio kila anachoshauriwa atafanya vingine vinamsaidia kufikia maamuzi sahihiKwahiyo mnashauriana kubadili flight bila kujali destination wala durability sababu tu kuna free Wi-Fi airport???
Aiseee
Tanzania ya vuwanda.
Hivi inachukua muda gani kusubiri kuboard au kutoka airport mpaka Wi-Fi iwe important that way labda kama kunadelay ya mwezi.yeye ndie atajiongeza kuona kama QA ipo kwenye route anayoenda acha kujifanya mjuaji, sio kila anachoshauriwa atafanya vingine vinamsaidia kufikia maamuzi sahihi
Hahahaah suala sio kuongea ishu ni kuwa ile ndege ilijaa watanzania as if wameikodi.Kuongea kwenye ndege mbona ni jambo la kawaida hata flights za mbele.
Aiseee
HahaTatizo la Ethiopian airlines ni kuwa unakutana na "MIPOPO" kibao toka West Africa mingi mijizi na imefungasha sembe ukizubaa ama wakuibie ama wakubebshe hiyo misembe yao bila kujua
haha
haha
haha
haha
haha 
Hawa watu ni wachafu sanaDuuhh!! Afadhali uwanja wa Qatar ila daah kwenye upande wavyoo kama uko transfer nishidaa wapikistani na wahindi wanatematema wate ovyo kwenye sinki hadikinyaa
Bila kusahau jet airline virgin airline delta UnitedSouthwest acquired AirTran.
Southwest and Spirit Airlines are ghetto airlines
Kwani watanzania hawaruhusiwi kusafiriHahahaah suala sio kuongea ishu ni kuwa ile ndege ilijaa watanzania as if wameikodi.