BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
Mh! uchafu Huu pia unapata watetezi!!!Be tolerant... hakuna alie mkamilifu, na hatujui wenyewe wanalionea sifa wakati we unaona kama kosa. maisha yao wenyewe...
Mh! uchafu Huu pia unapata watetezi!!!Be tolerant... hakuna alie mkamilifu, na hatujui wenyewe wanalionea sifa wakati we unaona kama kosa. maisha yao wenyewe...
mungu tusamehe.
halafu ukitizama vizuri hawa wote mashoga waingiliwa tu sioni kidume hapo
Sijui wanapofungishwa ndoa huwa inakuwa specified kwamba nani ni 'mme' na nani ni 'mke'! au wote wana status moja na wanaweza 'kubadilishana roles'!
Vipi kuhusu lesbianI never get it how two Men can proudly stand in front of people comfortably kabisa kua they are gay.... Dah!!
The same thing!Vipi kuhusu lesbian
ni vituko vitupu.
wakenya wapuuzi kwa kuiga vitu...walidhani wananunua Ipad...?Ooh.Kumbe Mombasa ni flagcarrier yao....Sidhani km ni shocking news kwa Zenj ,Ta watoto wa kwenda Mascut, Moro na Pale uswahilini A-Town(Pangani)