Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Mwambie ajitokeze tu nae aseme mimi muuaji awe anajitangaza huku na picha zake na mtutu akiuonyesha kama watamwacha
Kwahiyo wewe unasubiri mpaka wahalifu wajitokeze hizi ni Akili Pekee za vijana wa Lumumba Fc
 
Ndo kazi wanayoiweza hua polisiccm. Mcheki afande Juma pembeni ya kamanda Siro aliyevaa kiraia, hata mkanda aliovaa hauja match na zipu ya suruali, sijui ndo bado ana pombe za jana usiku.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hao waliotaka kumuua Lissu walijitangaza hadharani kama huyu?akili za darasa la ngapi sijui hii
Wewe Ndio shule ulienda kujifunza ujinga, unayesubiri mhalifu ajitangaze mtandaoni Ndio umkamate Kwahyo huyo nabii asingejitokeza mitandaoni angeendelea kuhubiri upupu wake. Only in Tanzania mnasubiri mhalifu ajitangaze Ndio akamatwe.
 
Wewe Ndio shule ulienda kujifunza ujinga, unayesubiri mhalifu ajitangaze mtandaoni Ndio umkamate Kwahyo huyo nabii asingejitokeza mitandaoni angeendelea kuhubiri upupu wake. Only in Tanzania mnasubiri mhalifu ajitangaze Ndio akamatwe.
Wewe ni mburula wala siwez kubishana na ww
 
Hahahahaa yaani waliomshambulia Tundu lisu walipita getini na getini palikuwa na walinzi hatukuona ghafra bin vuu kama hii kwamba tumuone Afande hapo mbele ya hao walinzi waliokuwepo zamu wakihojiwa na chini ya picha tusome kama ifuatavyo ´mkuu wa majeshi Tanzania mara moja bila kuchelewa awanasa waliokuwa zamu kwenye ulinzi getini pale DODoma
....kwa ujeuri na kiburi chake, hakamatwi mtu !
 
lumumba hamnaga hoja mnachojua matusi km viongoz wenu Kwaheriiii
Lumumba ni nani pumbavu ww..unadhani kila anaeona ujinga wa vyama pinzani ni ccm tu?chunguza vzr ndani ya chama pinzani kama upo utajua kama wote wanafanana au hawaoni usanii unaoendelea
 
Lumumba ni nani lumbavu ww..unadhani kila anaeona ujinga wa vyama pinzani ni ccm tu?chunguza vzr ndani ya chama pinzani kama upo utajua kama wote wanafanana au hawaoni usanii unaoendelea
Kachukue buku 7000 Zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom