Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Amanj ipi kaiharibu wakati mahubiri yake ananukuu vifungu vya biblia? Sema Wakristu wanachagua yale wanayoyataka watu wengi kuyasikia kutoka ktk biblia

Ukiona baadhi ya mikanda alimo utaona watu wakimshambulia kwa maneno naye akiendelea kupiga kelele. Aina hii ya majadiliano ndio ilisababisha kati ya mwaka 1987-1989 Serikali ipige marufuku mihadhara ya kidini na mikutano
Ya injili kwa mwaka mmoja hivi.
 
Ukiangalia mahojiano Kati ya Nabii Tito v Kamanda Muroto utaona jinsi Kamanda anavyo payuka payuka na kupiga kelele huku huyo wanaetuaminisha ni mental akiwa calm na kujibu maswali kwa akili despite conditions kuto kumfavor!
Ukiangalia vizuri utagundua yeye anaye ulizwa anaonekana yupo timamu zaidi kuliko yule anaye uliza.
Simtetei kabisa lakini nashauri wale tunaojiita WAKRISTO hoja za huyu bwana tuzijibu kwa hoja.
Tusiwe kama CCM kila tukishindwa kujibu hoja tuwatumie polisi.
Kamanda Muroto - "unajua ni kosa!?!?"
Nabii Tito - "ukisha sema ni kosa, wewe Wasema!“
Is this guy crazy au Mmetofautiana tu katika kuielewa na kuitafsiri BIBLE!?!?
 
Attachments

Alikuwa analazimishwa kukubali kosa kwa nguvu
 
Unachokiandika ndio kinakuvunjia heshima mkuu
hujui kuwa avator ni kitu ambacho kinakutambulisha ingawa tunatumia fake ID ila ukiweka picha ya demu ina reflect wewe in one way or another. Weka avator ya kiume mzee
 
hujui kuwa avator ni kitu ambacho kinakutambulisha ingawa tunatumia fake ID ila ukiweka picha ya demu ina reflect wewe in one way or another. Weka avator ya kiume mzee
nipe source ya hii habari yako
 
Taarifa hii ina mapungufu mengi huyu jamaa kahubiri sana Dar hasa posta Kinondoni Sinza na Mwenge... Alikuwa na nakala za vipeperushi vyake akiuzia kwenye mabar alikuwa buku kila kimoja na mahubiri yake yalikuwa haya haya na ni way back 2010
watu wengi ndo wamemjulia sasa ilhali wengine tunamjua kitambo kabla haja-pimp ngozi na nywele hizo!
 
watu wengi ndo wamemjulia sasa ilhali wengine tunamjua kitambo kabla haja-pimp ngozi na nywele hizo!
IMG-20180124-WA0022.jpg
 
Huyu aweza kushtakiwa kwa udhalilishaji. Yaani kuwa fanya wanawake kama vyombo tu vya matumizi na pia kuchochea ngono kwa binti wadogo

Huyo hawezi kushtakiwa,na ndio maana. Wametoa tamko ati ana matatizo ya akili
Lakini angekua sheik wa kiislamu kafanya hayo hadi saa hii angekua Lupango
 
Unaweza Shangaa ila kiuhalisia watu wenye roho mtakatifu ndio wanakuwa hivyo Sauli alipitia uuaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom