Huyo nabii watamshtaki kwa kifungu gani cha sheria wakati serikali Haina dini?Eti HAWAJULIKANI
Watu wasiojulikana TanzaniaWaliotaka kumuua lisu mbona mpaka Leo Kimyaaaa.
Mbona wengi tu wanazalilisha double standard tu, badala ya kudili na vitu vya msingi wanakimbizana na manabii fekiDouble standards... Pengine kudhalilisha imani ama kukosa kibali
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ndo kazi wanayoiweza hua polisiccm. Mcheki afande Juma pembeni ya kamanda Siro aliyevaa kiraia, hata mkanda aliovaa hauja match na zipu ya suruali, sijui ndo bado ana pombe za jana usiku.