oyaa hiyo avator yako ya kike inakuvunjia sana heshimaUhuru wa kuabudu, kuna mambo ya msingi yanapaswa kupewa kipaumbele kuliko haya Maigizo
Ukute na yeye anawafuasi wake
True ni dhihaka,maana maadili ya mafundisho yake hayaendani na biblia,kuamasisha uzinzi na ulezi.Mungu adhihakiwi.Kosa lake ni kufanya dhihaka dhidi ya dini za watu!!
Ile ni dhihaka kabisa, hana adabu!
Wakamate maana unawajuaWaliotaka kumuua lisu mbona mpaka Leo Kimyaaaa.
Pia kunywa pombe wakati wa kazi. Hana kanisa kasema anahubiri kwenye baa.Kosa atakalopewa ni Kuanzisha Kanisa bila Vibali.
Ajabu sana my dear kuona wahalifu kama hao waliomshambulia Lissu wakiendelea kuitwa wasiojulikana utafikiri nchi hii haina mifumo bora ya kiuchunguzi dhidi ya matukio kama yaleWaliotaka kumuua lisu mbona mpaka Leo Kimyaaaa.
Mwambie ajitokeze tu nae aseme mimi muuaji awe anajitangaza huku na picha zake na mtutu akiuonyesha kama watamwachaWaliotaka kumuua lisu mbona mpaka Leo Kimyaaaa.
Atashtakiwa kwa kosa la kuanzisha kanisa pasipo kibaliHuyo nabii watamshtaki kwa kifungu gani cha sheria wakati serikali Haina dini?
Huyu ni sawa tu na wanyoa viduku. Hakuna namna ya kum-charge na akapatikana na hatiaKusimama sawa tatizo ni kusimama kwa kujiegemeza kwa wenzio...Huyu mtu kavuka mipaka ya maadili maana kama ni imani siioni kwake....
Waliotaka kumuua lisu mbona mpaka Leo Kimyaaaa.