Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

mbona kuna imani za hovyo zaidi ya huyu au ndo kiki za mitandao za hii awamu?
 
Double standards... Pengine kudhalilisha imani ama kukosa kibali
Atapewa makosa kama akina Gigy money - kula denda na kurusha mitandaoni. Huyo akitoka selo, lazima naibu waziri wa utamaduni bibi Shonza nae amuite ofisini kwake🙂
 
Hahahahaa yaani waliomshambulia Tundu lisu walipita getini na getini palikuwa na walinzi hatukuona ghafra bin vuu kama hii kwamba tumuone Afande hapo mbele ya hao walinzi waliokuwepo zamu wakihojiwa na chini ya picha tusome kama ifuatavyo ´mkuu wa majeshi Tanzania mara moja bila kuchelewa awanasa waliokuwa zamu kwenye ulinzi getini pale DODoma
Bavicha wajinga sana nyie viumbe! Hivi kweli unafananisha hili tukio na la Lisu??
Mkapimwe tena mikojo.
 
Double standards... Pengine kudhalilisha imani ama kukosa kibali

Usiogope, Nabii Tito kapanda chart leo. Angelipata wapi nafasi ya kumhubiria huyo jamaa. Huenda J2 wakaenda kujiunga kwake. Chezea weye nini mbele ya ruksa kula denda ya hg mikononi mwa maza hausi. Dini hiyo itapata wengi sana
 
Back
Top Bottom