MR MD BONIFACE
Member
- Oct 25, 2017
- 31
- 30
hii ni kelele , weka hata bei, location
jamii forum inapoteza pesa kijinga title ya Expert Member inabidi watu walipie pie watu wanaweza rated by star baada hata jamii forum waanza na vitu vidogo wanalala big time
nita kuwa na fanya review ya business post za humu ndani
Kichwa cha habari chahusika,
Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu.
UBORA KATIKA KAZI:
1. Chakula kinaandaliwa na ma chef wazoefu waliosomea kazi ya upishi
2. Usafi na ubora ni kipaumbele cha kampuni yetu
3. Packaging nzuri na usafi wa hali ya juu sana
4. usafi kwa anaye kupatia chukura akiwa amevalia groves mkononi, mask, eploni,kofia yaani usafi wa viwango vya juu sana
5. wafanyakazi wetu ni watu tulio waamini na...

- goldcall
- dar dar es salaam fast food karibuni sana
- Replies: 76
- Forum: Matangazo madogo