Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Sawa kadakwa,watamshitaki kwa makosa yapi? Au wanatumia mabavu ya vyombo vya dola kumzima? Huyo nabii ana hoja ktk mahubiri yake na ilipaswa kuyapinga kwa hoja
 
Kwa kuharibu amani katika jumuia kwa kutoa matamshi yanayoashiria uvunjifu wa amani. Kiingereza:"DIstortion of public peace through provocative utterances"
Amanj ipi kaiharibu wakati mahubiri yake ananukuu vifungu vya biblia? Sema Wakristu wanachagua yale wanayoyataka watu wengi kuyasikia kutoka ktk biblia
 
Mbona wengi tu wanazalilisha double standard tu, badala ya kudili na vitu vya msingi wanakimbizana na manabii feki
Uhuru una mipaka si kutukana dini za watu au kunywea bia juu ya vitabu vitakatfu...hakuna uhuru usio na mipaka
 
2018-01-23-PHOTO-00000075.jpg

Walichokibaini Polisi Baada ya Kumhoji ‘Nabii’ Tito

JESHI la Polisi mkoani Dodoma, baada ya kumkamata na kumfanyia mahojiano Onesmo Machija (44) anayejiita ‘nabii’ Tito, kutokana na mahubiri ya kidini anayoyafanya, limesema mtu huyo ana matatizo ya akili.

Akizungumza na wanahabari mjini Dodoma leo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gillesi Muroto, amesema mnamo Juni 23, 2014, mtu huyo aliwahi kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu ya akili chini ya daktari aliyejulikana kwa jina moja la William ambapo aliporuhusiwa alitakiwa kurejea hospitalini hapo Julai 9 mwaka huohuo lakini hakurejea.

Kamanda Muroto aliendelea kusema kwamba baada ya hapo, Machija ambaye kanisa lake halijasajiliwa popote, aliibukia mkoani Dodoma katika kijiji cha Nong’ona kilicho karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) akifanya mahubiri ya kidini yaliyodaiwa kuwa hayakuwa na maadili ya kidini.

Kwa msingi huo, alisema jeshi la polisi limempeleka Hospitali ya Rufaa ya Mirembe iliyoko mkoani Dodoma kwa ajili ya kumpima tena matatizo hayo ya akili na baada ya majibu kutolewa, Dkt. Dixon Philipo aliyemshughulikia alithibitisha kwamba bado ana matatizo hayo.

Pamoja na hayo, Muroto alisema jeshi la polisi mkoani humo bado linaendelea kumshikilia kutokana na matendo yake aliyoyafanya ili kufanya uchunguzi zaidi.
 
Na wale waliokuwa wanakata viuno?? Hawajakamatwa
 
Taarifa hii ina mapungufu mengi huyu jamaa kahubiri sana Dar hasa posta Kinondoni Sinza na Mwenge... Alikuwa na nakala za vipeperushi vyake akiuzia kwenye mabar alikuwa buku kila kimoja na mahubiri yake yalikuwa haya haya na ni way back 2010
 
namfahamu tangu akiwa mweusi tiii
 
ahahaha jesji la policcm unalijua unalisikia hawanaga kazi muhimu waonekane tu kwenye media

cc mombasasa
Hahaaaaaaa kama ni milembe hata wale wakatikaji wangepelekwa huyu nabii sio chizi Ila hii issue ishaingia siasa na police walikurupuka kama kawaida yao. Wameona waizime kwa kumpeleka milembe
 
Hoja ilikuwa Nabii Tito.Wewe unaleta upuuzi mwingine.QUIMANINER
Wewe Ndio Akili yako imezungukwa na ukungu wa siasa. Kwa ugali unaopewa na Ccm unatetea upumbavu, mnasubiri wauaji wajitokeze muwakamate rubbish
 
Siamini saaana kama tito ni mwehu,kisha mwenyewe kabla alisisitiza kua ye ni mzima kabisa...kisha leo eti chizi,ninachokiona ni kuwa kapigwa ban aache kufanya anachokifanya na gvt na ili kumuondoa kwenye mikono ya wafia imani wasije kumdhuru ndo anatajwa kuwa ana matatizo ya akili...
 
Tumuulize Kwani Jeshi la Polisi linafanya kazi gani?
Jeshi a polisi kazi yake ni kupeleleza ili kupata taarifa, na taarifa anazo dereva ambapo tuliambiwa na chama kuwa alienda Nairobi kufanyiwa uchunguzi kwenye akili na mpaka sasa inaonekana dereva ana chembe za uchizi kwa hiyo ushahidi hakuna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom