Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Huyo nabii watamshtaki kwa kifungu gani cha sheria wakati serikali Haina dini?
Kwa kuharibu amani katika jumuia kwa kutoa matamshi yanayoashiria uvunjifu wa amani. Kiingereza:"DIstortion of public peace through provocative utterances"
 
Huyu jamaa yupo vizuri sababu mahubiri yake hayatoki nje ya biblia. Na biblia ni kitabu kitakatifu. Wanamuonea sana kumpeleka polisi
 
Kumfuatilia huyu jamaa ni kupoteza muda bure tu, Mtu anafanya mambo yake nyie ndio mnaohangaika kumfuata fuata, yeye hana account ya face book, instagram, whats app n.k.

Kama kuna wanaofuata mafunzo yake ni ujinga wao wenyewe sasa alaumiwe nani?

Muacheni huyo bwana ahangaike na mambo yake, yupo tangu miaka na miaka na sidhani kama ameiathiri jamii kwa lolote, zaidi ya kuburudisha kama commedians.
 
Hana kosa huyo hao wanaowatapeli watu na kutajirika kwa kujiita manabii au maaskofu mbona hawakamatwi?

Huyo anatafasiri biblia kama anavyoielewa yeye siyo kama mlivyokaririshwa na wazungu
 
  • Thanks
Reactions: mop
Waliotaka kumuua lisu mbona mpaka Leo Kimyaaaa.


Tatizo la Lissu ni family conflict kwani waliotaka kumuua ni ndugu zake mwenyewe pamoja na viongozi waandamizi wa chadema. Serikali itaingiliaje suala la family conflict? Mwache Lissu asuluhishe yeye mwenyewe na nduguze.
 
Kwahiyo nyie policeCcm mnasubiri mpaka wauaji warushe picha mitandaon Ndio muwakamate? Huko shule ulienda kujifunza ujinga
Akili yako imezingirwa ukungu wa siasa.Huyu amekamatwa kwa kosa lingine kabisa kwasababu yupo mtaani,yupo mtandaoni.Ninyi mnauliza kuhusu muuaji wa TUNDU.
Ujinga mtupu.Sio kila kitu ni SIASA!
 
Ndo kazi wanayoiweza hua polisiccm. Mcheki afande Juma pembeni ya kamanda Siro aliyevaa kiraia, hata mkanda aliovaa hauja match na zipu ya suruali, sijui ndo bado ana pombe za jana usiku.
Duh we jamaa inaonekana ukiizum hii picha...
 
Mbona wa lissu ajadakwa?

Mwingulu leo kapata sehemu.ya kiki saa tano asubuhi hata watu bado wamelala kakimbilia kwenye media mitandao fb kaita wahandishi wa habari kutafuta kiki lakini kwa ndungu yake wa karibu na mbunge mwenzake na ni majirani isitoshe wanaingiliana kabila lakini alikuwa BUBU hadi leo kupigwa risai kwa MhTUNDU LISSU shame on you

$wissme
 
Akili yako imezingirwa ukungu wa siasa.Huyu amekamatwa kwa kosa lingine kabisa kwasababu yupo mtaani,yupo mtandaoni.Ninyi mnauliza kuhusu muuaji wa TUNDU.
Ujinga mtupu.Sio kila kitu ni SIASA!
Wewe Ndio Akili yako imezungukwa na ukungu wa siasa. Kwa ugali unaopewa na Ccm unatetea upumbavu, mnasubiri wauaji wajitokeze muwakamate rubbish
 
Back
Top Bottom