Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

Huyo nabii watamshtaki kwa kifungu gani cha sheria wakati serikali Haina dini?
Sioni sababu ya serikali kulichukua hili swala, waachie wenye dini yao wamalizane nae, kuna mmoja aliibuka akadai yeye ni mtume wa waisilam mbona waisilam walimmaliza kwa hoja tu na aliomba radhi. Watu wa aina hii walikuwepo want na wataendelea kuwepo.
 
Afadhali amadakwa maana hata kama ni uhuru wa kuabudu alikuwa amepitiliza
 
Alikuwa ananiudhi huyu, bora akivyodakwa, ila msishangae akaachiwa
 
Back
Top Bottom