Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 758
- 473
Imefika wakati tupigeni kelele mambo ya ajabu yatokomee
1. Vyombo vya habari vimekuwa na uhuru tu wa kusifia Serikali ya mama Samia pekee ila huwezi kukuta chombo cha habari kikihoji maendeleo ya kijamii kama kukatika katika ya umeme, uhaba wa maji, mafuta, vyakula bei juu, kuadimika kwa dolla,
2. Nchi inaumizwa walafi hujinufaisha kwa vyadhifa zao ripoti ya CAG imekuwa kama nyimbo ambayo haina maana
3. Kila Jambo imekuwa ni fursa kwa kisiasa, Afya, uchumi, michezo, sanaa, Elimu vyote vinaendeshwa kisiasa na sio kwa weledi ndio maana hatuwezi kufika mbali
4. Watu ambao hawana taaluma na uwezo kupewa nafasi kisa tu ni waasisi wa chama.
Taifa linapotea na kiukweli mama kazidiwa maarifa maana kila akifungua kituo cha habari ni kelele tu kusifiwa ila haelewi hali mtaani ni ngumu mno.