Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
Sijajua sababu haswa nini ila nimegundua vijana wengi wa kimasikini, waliokwama kimaisha , hawana issue ya kufanya stori nyingi wanazojadili ni umbea na udaku kuhusu maisha ya watu yaani unaweza kukuta tangu asubuhi hadi jioni wapo kijiweni wanajadili maisha ya watu na kushare Habari umbea na udaku.
Tofauti na wakishua wao mara nyingi stori zao kwenda mbele, kushare fursa, m.k ambapo kijana wa kimasikini hapendi hizo Habari.
Je, sababu nini vijana kimasikini kupenda stori na udaku kuliko maendeleo?