Alukufa amina chifupa swmbuse madreva wenu... sory bashitekweli kabisa inaonekana makonda akifa ghafla ndo basi tena hakuna vita dhidi ya madawa...pathetic fools
Inawezekana Pia.. Siasa ni Sanaaje imethibitika ni teja amekufa kwa kujidunga kweli au amenyongwa?
We ni Cheguevara au Cheguefara!?Wenye vyeti ndiyo hawezi kuzuia hii kitu miaka nenda rudi
Yeah man.. Stay blessed Son.Kwani huyu Makonda amefanya nini kwenye vita ya madawa ya kulevya na matokeo ya kukumbukwa ya hatua zake ni yapi??! Ni kweli kwamba hii vita inamhitaji Makonda pekee na akikosekana imeshindikana au inahitaji sana njia 'mujarabu' alizotumia? Tumekamata kilo ngapi za unga kwenye vita vya Makonda? Wamekamatwa wauza unga wangapi na kesi zao zipo mahakama ipi? Wameokolewa mateja wangapi? Kiasi cha madawa kinachoingia kimepungua kwa kiasi gani?
Hatukupi Laana tunaomba Mungu Akuonyeshe na Upande wa pili wa fikra zako kisha uamue upya...Chadema mfurahie sasa
hizi habari kwenu nzuri
Mungu awalaani zaidi ya Laana mliyo nayo sasa.
Twende na Makonda
Tanzania bila madawa inawezekana
Ukipigwa na Gwajima ni ngumu sana kuinuka muda huo huo... Kwa ujanja ujanja na utafutaji kiki wa makonda angesha mshitaki Bwana Askofu kama angekua ana msingizia.Wapi uliona shujaa! Mkombozi anakubalika kirahisi rahisi tu! Wenhi wao tena hukumbukwa na kuliliwa sana mauti yakiwakuta...nakuombea maisha marefu makonda! Nashangaa umetulia sasa hivi jembe la nchi wake up again
Kabla ya Lugha tizama ujumbe wa mchango wakeHii lugha Kiswahili ni made in Tanzania tunajivunia . Mbona unaandika vibaya . Ulisomea hivyo ?
Hv makonda kufanya nn? Kuna muuzaji hata m1 aliyemkamata? Jamani tuamkeni tutazame mambo kwa mtazamo chanya na faida endelevu za jambo husikaHalafu mtu anabinua pua zake kumtukana Makonda;
Mungu anawaona mjue.
Ni UKWELI..... Unga ukikosea mishipa ukajichoma KWENYE mishipa SIO.. Lazima ufe...Nimepata taarifa ya huyo kijana kwamba chanzo cha kifo chake ni alikosea mshipa ndio kupelekea hali hiyo
Kumbe hadi humu wapo wala ngada duuh kweli kazi ipoEuphoria ni kweli raha yake ni Mara 200 kuliko unavyofika kileleni ukiwa na mwanamke, hapo watumiaji hawawezi kuacha.
Usipate tabu ndugu yangu wengine humu nao ni watumiaji. Kwa hiyo makonda wanamuona mtu mbaya anataka kuwaharibia starehe yao.Tusiwapinge wale waliojitolea kupambana na madawa kwani hasara yake ndio hio.
Usiongee maneno tu kama umekatwa kichwa. Kumbuka unawatoto na kama huna watoto utakuja kuwa nao siku wakija kukumbwa na hili janga utajua kama kweli lipi la msingi kati ya kufoji cheti na vita ya dawa za kulevya.Kufa kwa huyu kijana akualalishi makonda aendelee kutumia jina ambalo sio lake wangapi wamekufa kipindi cha uchaguzi